Izzo Bizness katuletea zawadi ya Christmas, wimbo ni ‘Walala Hoi Part 2’- Feat. Navio & Mwasiti.. (+Audio)
Rapper kutoka Mbeya City ambaye leo December 25 2015 anasherehekea pia siku yake ya kuzaliwa… Happy BIRTHDAY na kila la kheri mtu wetu Izzo Bizness.. umetimiza miaka mingapi leo ?!! Okay, tuachane na hilo la umri wa Izzo… Christmas hii Izzo kaona aangushe kitu kizuri kushare na watu wake wote, kwa maana nyingine hii ndio […]
The post Izzo Bizness katuletea zawadi ya Christmas, wimbo ni ‘Walala Hoi Part 2’- Feat. Navio & Mwasiti.. (+Audio) appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo525 Dec
New Music: Izzo Bizness f/ Navio & Mwasiti – Walala Hoi (Part 2)
![20151224222753](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151224222753-300x194.jpg)
Christmas ni siku ambayo Izzo Bizness anasherehekea siku ya kuzaliwa na ameamua kutoa zawadi kwa mashabiki wake. Ni part 2 ya wimbo wake Walala Hoi aliowashirikisha Navio na Mwasiti.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
CloudsFM09 Jul
Audio & lyrics: Izzo Bizness - Walala Hoi
![](http://1.bp.blogspot.com/-77VNeibHINc/U70T0HD_ORI/AAAAAAAAFOI/q4IB0m3bLwE/s1600/IMG-20140709-WA0003.jpg)
10 years ago
Bongo523 Sep
Adam Juma ampongeza Izzo Bizness kwa kutaja gharama halisi aliyotumia kwenye video ya ‘Walala hoi’, M 1.4
9 years ago
Bongo516 Oct
Music: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole & Shaa – Pga Chata
9 years ago
Bongo515 Oct
Video: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole, & Shaa – Piga Chata
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Mzigo wa ‘Shem Lake’ huu hapa kutoka kwa Izzo Bizness, Feat. Mwana FA & G Nako.. (+Video)
Rapper anayewakilisha Green City a.k.a Mbeya City kathibitisha kwamba anahitaji watu wake wapate zawadi ya video nzuri kabla haijafikia December 25 2015 ambayo ndio siku ya birthday yake. Jina lake kwenye stage ya muziki anafahamika kama Izzo Bizness, wiki chache zilizopita aliachia ngoma kali ambayo imeteka kwa nguvu airtime kwenye radio stations ambapo ngoma hiyo […]
The post Mzigo wa ‘Shem Lake’ huu hapa kutoka kwa Izzo Bizness, Feat. Mwana FA & G Nako.. (+Video) appeared first on...
9 years ago
Bongo517 Oct
Music: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole na Shaa — Piga Chata
10 years ago
GPL28 Feb