Awataka wasomi kusaidia maendeleo ya kilimo
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela, Profesa Lugano Kusiluka amewataka wasomi na wanasayansi Afrika kutumia elimu na ujuzi wao kusaidia maendeleo katika sekta ya kilimo na viwanda ambayo ndiyo uti wa mgongo wa maendeleo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Aug
Mbunge ahimiza wasomi kusaidia maendeleo Chalinze
WASOMI wametakiwa kutumia elimu yao kukabili changamoto za kimaendeleo kwenye Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani.
10 years ago
MichuziBENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Wasomi wasema tafiti za kilimo haziwanufaishi walengwa
10 years ago
VijimamboBENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
10 years ago
Bongo Movies22 Dec
JB Awataka Wasomi Wasifikiri Kuomba Kazi Bali Wafikirie Kutengeneza Ajira
Mwigizaji na muongozji mkongwe wa Filamu hapa nchini, Jacob Stephen “JB”aliweka bandiko hili mtandaoni akiwa mkoani Mwanza,kwenye mkutano na waandishi wa habari kuhusiana ma mradi mpya wakuhamasisha watanzania kujikita zaidi kwenye ujasiriamali ianayofahamika kwa jina la : “FURSA YA KUJITAJIRISHA KIADILIFU”.
JB aliandika;
“Watanzania wenzangu hasa wasomi.tusifikiri kuomba kazi baada ya kuhitimu masomo yetu badala yake tufikirie kutengeneza ajira.inawezekana....”
Picha :JB akiongea na...
10 years ago
Habarileo26 May
‘Wasomi wasaidie maendeleo kwao’
WASOMI nchini wameaswa kuisaidia jamii mahali wanapotoka kwa kushirikiana na serikali kusukuma gurudumu la maendeleo, ikiwa wao wana uwezo wa kuwapunguzia changamoto mbalimbali wananchi zinazowakabili.
10 years ago
Michuziwarsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar
10 years ago
Bongo Movies22 Dec
JB Awataka Wasomi Wasifikiri Kuomba Kazi Baada ya Masomo,Bali Wafikirie Kutengeneza Ajira
Mwigizaji na muongozji mkongwe wa Filamu hapa nchini, Jacob Stephen “JB”aliweka bandiko hili mtandaoni akiwa mkoani Mwanza,kwenye mkutano na waandishi wa habari kuhusiana ma mradi mpya wakuhamasisha watanzania kujikita zaidi kwenye ujasiriamali ianayofahamika kwa jina la : “FURSA YA KUJITAJIRISHA KIADILIFU”.
JB aliandika;
“Watanzania wenzangu hasa wasomi.tusifikiri kuomba kazi baada ya kuhitimu masomo yetu badala yake tufikirie kutengeneza ajira.inawezekana....”
Picha :JB akiongea na...
11 years ago
Habarileo09 Aug
Ataka wataalamu wa kilimo kusaidia wananchi
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amewataka wataalamu wa kilimo katika halmashauri kuwa karibu na wananchi ili kuwasaidia kuboresha kilimo na mifugo yao.