Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wasomi wasaidie maendeleo kwao’

WASOMI nchini wameaswa kuisaidia jamii mahali wanapotoka kwa kushirikiana na serikali kusukuma gurudumu la maendeleo, ikiwa wao wana uwezo wa kuwapunguzia changamoto mbalimbali wananchi zinazowakabili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Awataka wasomi kusaidia maendeleo ya kilimo

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela, Profesa Lugano Kusiluka amewataka wasomi na wanasayansi Afrika kutumia elimu na ujuzi wao kusaidia maendeleo katika sekta ya kilimo na viwanda ambayo ndiyo uti wa mgongo wa maendeleo.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge ahimiza wasomi kusaidia maendeleo Chalinze

WASOMI wametakiwa kutumia elimu yao kukabili changamoto za kimaendeleo kwenye Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani.

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AWAELEZA WASOMI JAPAN UMUHIMU WA VITEGA UCHUMI KWA MAENDELEO YA AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa muhadhara katika Chuo Kikuu cha Taaluma ya Sera 'GRIPS' wakati alipoalikwa kwenye muhadhara huo uliofanyika chuoni hapo Jijini Tokyo Japan, jana Mei 23, 2014. Baadhi ya wanachuo kutoka mataifa mbalimbali wa Chuo hicho waliohudhuria Muhadhara huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati alipokuwa akitoa muhadhara. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal awaeleza wasomi Japan umuhimu wa vitega uchumi kwa maendeleo ya Afrika

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akitoa muhadhara katika Chuo Kikuu cha Taaluma ya Sera ‘GRIPS’ wakati alipoalikwa kwenye muhadhara huo uliofanyika chuoni hapo Jijini Tokyo Japan, jana Mei 23, 2014. (Picha na OMR).

Na Mwandishi Maalum, Tokyo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal amesema nchi zinazoendelea hususan za Kiafrika bado zinahitaji uwekezaji zaidi vitega uchumi kutoka nje  (FDIs) ili kupata...

 

9 years ago

Vijimambo

MDAU WA VIJIMAMBO AKIWA KIJIJI KWAO MKATAA KWAO MTUMWA

 Ustadh Maftah  wa New York akiwa Kilwa aliturushia hii kuonyesha kuwa mkataa kwao ni mtubwa hapa Ustadh Mafutah akiwa na shangazi yake Zureha bint Maftah wakielekea kisiwani kutoka Kilwa masoko Lindi.
 Hii ni ramani ya kisiwani, kisiwa hiki ni maarufu sana katika karne ya 9 kilikuwa kina milikiwa na sultan Ali bin Al-Hasan hapa ndipo palikuwa makazi yake katika karne hiyo ya 9 hadi karne ya 15.  Alijenga Msikiti mkubwa sana na alifanya kituo kikubwa cha kubairishia watumwa na kuwasafirisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wasaidie netiboli

MASHINDANO ya Kombe la Taifa kwa mchezo wa netiboli yamefikia tamati mwishoni mwa wiki kwa mkoa wa kimichezo wa Temeke kutetea ubingwa kwa kuifunga Morogoro katika mechi ya mwisho. Temeke...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Kamala: Wanaowania urais wasaidie umma kwanza

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dk Diodorus Kamala amewataka wenye ndoto za kuwania urais mwaka ujao kufikiria kwanza namna ya kuwasaidia Watanzania wakiwa nje ya wadhifa huo, badala ya kuwaza kushinda kwanza mbio hizo ndipo wasaidie.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wadau wasaidie Albino kupatiwa matibabu saratani ya ngozi

WATU wenye ulemavu wa ngozi (albino), wamekuwa wakisumbuliwa na maradhi ya ngozi hususan saratani ya ngozi. Maradhi hayo hadi sasa, baadhi ya watu huyachukulia kuwa labda hayana tiba, hiyo inatokana...

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake wasaidie waume wasife kwa wingi barabarani

WANAWAKE wametakiwa kuwa chachu ya mabadiliko kwa kuwatahadharisha wenzi wao kuwa makini wanapokuwa barabarani kutokana na takwimu kuonesha ajali nyingi za vifo zimekuwa zikihusisha zaidi wanaume.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani