Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM MEDIA WAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA AJILI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI

Mkurugenzi wa Uhai Production ya Azam TV  Bw. Yahaya Mohamed, akikabidhi vifaa vya michezo  kwa Afisa Masoko wa Global Publishers Bw. Innocent Mafuru (katikati) ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha la Usiku wa Matumaini likalofanyika siku ya nane nane(08/08/2014) ,siku ya ijumaa katika uwanja wa Taifa Dar salaam. Vifaa hivi ni kwajili ya wabunge wa upande wa mashabiki wa Yanga. Mkurugenzi wa Uhai Production ya Azam TV  Bw....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka Kampuni ya Tanzania Sisi Nyumbani (TSN) wa ajili ya mashindano ya Kinondoni Cup yatakayoanza Juni 2015 katika wilaya hiyo. Meneja wa Kinywaji cha Chilly Willy  Kinachosambazwa na Kampuni ya TSN, Khamis Tembo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 14 ZA LIGI KUU‏ KWA AJILI YA MSIMU WA 2014/2015

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim,akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom.  kushoto ni Meneja biashara wa TFF Peter Simon na kulia ni Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga.Timu 14 zimekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya Sh 430 Milioni. Kutoka kushoto:… ...

 

10 years ago

Vijimambo

NMB BANK YALIPATIA JESHI LA POLISI VIFAA VYA MICHEZO, NI KWA AJILI YA TIMU ZA POLISI DAR NA MORO

Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA PARALYMPIC YAKABIDHIWA VIFAA KWA AJILI MICHEZO YA AFRIKA

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiikabidhi Timu ya Taifa ya Paralympic vifaa vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika  (All African Games).Kushoto anayepokea vifaa hivyo ni Kocha wa Timu hiyo Bw. Zaharan Mwenemti. 

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na kikosi cha...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon  Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 NI VITA

Umewahi kujiuliza nini kitatokea endapo waheshimiwa wabunge, Hamis Kigwangala wa Nzega na Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi wakiziweka suti zao pembeni na kupanda ulingoni, nani atamkalisha mwenzake? Itakuwa vita! D.k Hamis Kigwangala mbunge wa Nzega. Basi hicho ndicho kitakachotokea kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalotimua vumbi Agosti 8, 2014 (Nane Nane) kwenye Uwanja wa Taifa ambapo waheshimiwa hao watanyukana...

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea.…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014: NOMA SANAAA

Mpango mzima utakuwa ni Agosti, mwaka huu wakati Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 litakapochukua nafasi akatika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mastaa kibao wakiwemo Ali Kiba, staa wa songi la Johnny, Yemi Alade kutoka Nigeria, Juma Nature, Madee, R.O.M.A Mkatoliki, Wanaume halisi na wengineo kibao wataporomosha burudani za kufa mtu siku hiyo. Tamasha hili si la… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani