Azam yaipa Yanga nafasi ya ubingwa
Kichekochatawala Yanga baada ya kuitesa Azam FC katika mechi ya tatu na kuipa Yanga nafasi ya ubingwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Azam yaiachia ubingwa Yanga
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Azam wameanza kukata tamaa ya kutetea ubingwa wao msimu huu, baada ya kuweka bayana kwamba malengo yao ni kuhakikisha Simba haiwaondoi katika nafasi ya pili.
10 years ago
BBCSwahili07 May
Azam yaifunga Yanga yashika nafasi 2
Baada ya kuvuliwa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara,Azam FC hatimaye imekata tiketi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika mwakani,
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Cecafa yaipa Azam tiketi Kagame Cup
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC ya jijini Dar es Salaam, wamepata mualiko maalum wa kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup),...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7F975s5rOKhU*iY06q-rSZ*wo2eDJ2IxcCdbJEks3gXkEPXxzTZOSvlebrwMNvJwZLLlH1wJEKEcLHC7glEB3YgsinMmkchP/11111yqnga.jpg?width=650)
Yanga yaipa masharti 5 TFF
Wachezaji wa Yanga. Nicodemus Jonas,
Dar es SalaamKAMA ulidhani walikuwa wanatania, ndiyo ufahamu kuwa jamaa walikuwa ‘serious’! Siku chache baada ya uongozi wa Yanga kuhoji kuhusu kanuni iliyompitisha straika wa Simba, Ibrahim Ajibu kucheza kwenye mchezo wa Prisons wakati akiwa ana kadi tatu za njano, uongozi huo umekwenda mbali na kuilima Shirikisho la Soka nchini (TFF) barua ya masharti matano kuhusu maamuzi...
11 years ago
Mwananchi17 Dec
CAF yaipa Yanga timu laini
Yanga imepangwa na timu laini ya Komorozine ya Comorro katika mechi za raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati Azam imepangiwa Ferroviario Da Beira ya Msumbiji kwenye Kombe la Shirikisho.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania