Azam yaiachia ubingwa Yanga
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Azam wameanza kukata tamaa ya kutetea ubingwa wao msimu huu, baada ya kuweka bayana kwamba malengo yao ni kuhakikisha Simba haiwaondoi katika nafasi ya pili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Azam yaipa Yanga nafasi ya ubingwa
Kichekochatawala Yanga baada ya kuitesa Azam FC katika mechi ya tatu na kuipa Yanga nafasi ya ubingwa.
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Azam FC yautema ubingwa
Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi Azam wamevuliwa ubingwa huo baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa KCCA katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4Ta8QizSMJK4D0kInfppjLuYRSeNYVb6KYoOMcAI-NEIT8Xzq7RyIbuQ0EQGc*sJQQTA75hSgGFLGWeg187seUkn/azam.jpg?width=550)
Azam FC hiyoo kwenye ubingwa
Kikosi cha Azam FC. Na Sweetbert Lukonge
UWEZEKANO wa Azam FC kuandika historia ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza upo karibu, hiyo ni baada ya kufanikiwa kuifunga Simba kwa mabao 2-1 na kuongoza msimamo wa ligi hiyo kwa tofauti ya pointi saba. Azam ambayo haijapoteza mechi yoyote msimu huu, imeonyesha kweli imejipanga baada ya kutoa kipigo hicho kwa Simba ambayo mwaka huu imekuwa ikipepesuka, hivyo...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
DRFA yaipongeza Azam ubingwa VPL
CHAMA cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), kimeipongeza timu ya Azam FC kwa kufanikiwa kwa mara ya kwanza katika historia yake kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom...
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Azam kutetea ubingwa Tanzania bara
Timu ya Azam ina imani ya kutetea ubingwa wa Tanzania Barakwa kuwakaribisha wagonga nyundo kutoka jijini Mbeya, Mbeya City.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania