Azam FC hiyoo kwenye ubingwa
![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4Ta8QizSMJK4D0kInfppjLuYRSeNYVb6KYoOMcAI-NEIT8Xzq7RyIbuQ0EQGc*sJQQTA75hSgGFLGWeg187seUkn/azam.jpg?width=550)
Kikosi cha Azam FC. Na Sweetbert Lukonge UWEZEKANO wa Azam FC kuandika historia ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza upo karibu, hiyo ni baada ya kufanikiwa kuifunga Simba kwa mabao 2-1 na kuongoza msimamo wa ligi hiyo kwa tofauti ya pointi saba. Azam ambayo haijapoteza mechi yoyote msimu huu, imeonyesha kweli imejipanga baada ya kutoa kipigo hicho kwa Simba ambayo mwaka huu imekuwa ikipepesuka, hivyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwlNHWyGfSYJEuILOEASfp48cLtd4OgI-PRWXUVCEKV-WIR3UYQY5yvGrpZJVHwnxpua*ailCZdU509q5kvSe9sY/10258957_739466392760386_5015759206496137483_n.png?width=650)
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Azam FC yautema ubingwa
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Azam yaiachia ubingwa Yanga
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Azam wamestahili ubingwa Ligi Kuu
TIMU ya soka ya Azam, imetawazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2013/14, baada ya kufikisha pointi 62 katika mechi 26 walizocheza katika ligi hiyo iliyoanza Agosti...
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Azam kutetea ubingwa Tanzania bara
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Azam yaipa Yanga nafasi ya ubingwa
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
DRFA yaipongeza Azam ubingwa VPL
CHAMA cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), kimeipongeza timu ya Azam FC kwa kufanikiwa kwa mara ya kwanza katika historia yake kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom...
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
AZAM FC: Nguvu zote sasa vita ya ubingwa
HUWEZI kutaja timu nne bora za soka nchini bila Azam FC ambayo kutokana na soka yake ya uhakika, wamejizolea sifa kubwa sio tu katika Ligi Kuu Tanzania Bara, pia katika...