Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam yawaangukia mashabiki

UONGOZI wa klabu ya Azam ya Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, kwa niaba ya benchi la ufundi na wachezaji, umewaomba radhi mashabiki wanaoipenda na kuiunga mkono...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Bocco awatuliza mashabiki Azam

John-Bocco-1-e1438774780905ADAM MKWEPU NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, John Bocco amewatuliza mashabiki wa timu hiyo na kuwataka wasubiri ushindi wa kishindo watakapocheza na Majimaji keshokutwa katika Uwanja wa Majimaji, Songea.

Azam ilipata matokeo ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba Jumamosi iliyopita na kufikisha pointi 26 zilizoifanya ishuke hadi nafasi ya pili na kuwapa wapinzani wao Yanga nafasi ya kurudi kileleni kwa kujikusanyia pointi 27.

Akizungumza na MTANZANIA jana nyota huyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yawaangukia Ukawa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), warejee bungeni ili waweze kukamilisha kazi ya kuandika katiba mpya....

 

11 years ago

Mtanzania

Tanesco yawaangukia walimu

Shirika la Umeme Tanzania, Tanesco

Shirika la Umeme Tanzania, Tanesco

NA HUMPHREY SHAO, DAR ES SALAAM

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limewataka walimu wanaofundisha shule za msingi za Serikali kutoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya umeme kwa wanafunzi.

Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Meneja wa Afya na Usalama Kazini wa TANESCO, Mhandisi Mayige Mabula, alipokuwa akizungumza na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Ubungo National Housing.

Alisema ikiwa elimu itatolewa kwa wanafunzi, ni wazi itasaidia kuepuka...

 

11 years ago

Mwananchi

Vodacom yawaangukia wateja wa M- Pesa

Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom, imewaomba radhi wateja wake wanaotumia huduma ya M - Pesa kutokana na hitilafu za kiufundi zilizosababisha kusimama kwa huduma hiyo kwa siku kadhaa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali Rungwe yawaangukia wenyeviti

SERIKALI wilayani Rungwe, Mbeya, jana ilisalimu amri kwa wenyeviti wa serikali za vijiji baada ya kutangaza mgomo usio na kikomo kwa kuitisha mkutano wa wenyeviti wote wa Jimbo la Rungwe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ifa Band yawaangukia wadau

IFA Band yenye maskani yake Mburahati Madoto jijini Dar es Salaam imeomba kusaidiwa vyombo vya muziki ili iweze kusongesha tasnia ya muziki wa dansi na kukabiliana na hali ya soko la ajira hapa nchini. Bendi hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani