Tanesco yawaangukia walimu
Shirika la Umeme Tanzania, Tanesco
NA HUMPHREY SHAO, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limewataka walimu wanaofundisha shule za msingi za Serikali kutoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya umeme kwa wanafunzi.
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Meneja wa Afya na Usalama Kazini wa TANESCO, Mhandisi Mayige Mabula, alipokuwa akizungumza na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Ubungo National Housing.
Alisema ikiwa elimu itatolewa kwa wanafunzi, ni wazi itasaidia kuepuka...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Azam yawaangukia mashabiki
UONGOZI wa klabu ya Azam ya Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, kwa niaba ya benchi la ufundi na wachezaji, umewaomba radhi mashabiki wanaoipenda na kuiunga mkono...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Serikali yawaangukia Ukawa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), warejee bungeni ili waweze kukamilisha kazi ya kuandika katiba mpya....
10 years ago
Mtanzania21 Aug
CCM yawaangukia tena Ukawa
![Nape Nnauye](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Nape-Nnauye.jpg)
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye
NA FREDY AZZAH, DODOMA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimempa kibarua kingine Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kuendelea na mazungumzo ya kusaka mwafaka na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.
Pamoja na hatua hiyo, CCM imesema imesikitishwa na hatua ya kuvunjika kwa mazungumzo yaliyohusisha viongozi wake na wale wa CUF, Chadema na NCCR-Mageuzi.
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu...
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Serikali Rungwe yawaangukia wenyeviti
SERIKALI wilayani Rungwe, Mbeya, jana ilisalimu amri kwa wenyeviti wa serikali za vijiji baada ya kutangaza mgomo usio na kikomo kwa kuitisha mkutano wa wenyeviti wote wa Jimbo la Rungwe...
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Vodacom yawaangukia wateja wa M- Pesa
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Ifa Band yawaangukia wadau
IFA Band yenye maskani yake Mburahati Madoto jijini Dar es Salaam imeomba kusaidiwa vyombo vya muziki ili iweze kusongesha tasnia ya muziki wa dansi na kukabiliana na hali ya soko la ajira hapa nchini. Bendi hiyo...
9 years ago
Habarileo18 Dec
Polisi yawaangukia abiria kudhibiti ajali
POLISI mkoani Katavi kupitia kikosi cha Usalama Barabarani imezindua kampeni inayowataka abiria kushirikiana kudhibiti na kupunguza ajali za barabarani hasa kipindi cha kuelekea siku za Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
11 years ago
Habarileo27 May
Kampuni ya Simon Group yawaangukia wabunge
KAMPUNI ya Simon Group inayoendesha Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), imewaomba radhi wabunge wa Dar es Salaam akiwemo Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA) kutokana na habari zilizoandikwa kwamba Mwenyekiti wake, Robert Kisena aliwatuhumu wabunge hao kuhongwa ili kuihujumu UDA.
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mauaji tena Kiteto, Serikali yawaangukia viongozi wa siasa
WAKATI mkulima Hassan Kondeya ameuawa jana na kundi la wafugaji wa kabila la Masai, Serikali imetoa kauli kuhusiana na hali tete ya mauaji ya mara kwa mara wilayani humo. Akitoa...