CCM yawaangukia tena Ukawa
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye
NA FREDY AZZAH, DODOMA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimempa kibarua kingine Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kuendelea na mazungumzo ya kusaka mwafaka na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.
Pamoja na hatua hiyo, CCM imesema imesikitishwa na hatua ya kuvunjika kwa mazungumzo yaliyohusisha viongozi wake na wale wa CUF, Chadema na NCCR-Mageuzi.
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Serikali yawaangukia Ukawa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), warejee bungeni ili waweze kukamilisha kazi ya kuandika katiba mpya....
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mauaji tena Kiteto, Serikali yawaangukia viongozi wa siasa
WAKATI mkulima Hassan Kondeya ameuawa jana na kundi la wafugaji wa kabila la Masai, Serikali imetoa kauli kuhusiana na hali tete ya mauaji ya mara kwa mara wilayani humo. Akitoa...
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Mutungi kuwakutanisha tena CCM, Ukawa
10 years ago
Mtanzania11 Sep
Ukawa moto tena
![Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/ukawa-viongozi.jpg)
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
NA WAANDISHI WETU
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umewasha moto tena.
Moto huo, unatoka na Ukawa kumwomba Rais Jakaya Kikwete kusitisha mara moja vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma kwa nia ya kuepusha upotevu wa fedha za walipakodi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa kutoa tamko la umoja huo, Mwenyekiti wa Maridhiano, James Mbatia, alisema...
10 years ago
KwanzaJamii11 Sep
UKAWA WAWASHA MOTO TENA
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Polisi yawapiga ‘stop’ tena Ukawa Zanzibar
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Azam yawaangukia mashabiki
UONGOZI wa klabu ya Azam ya Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, kwa niaba ya benchi la ufundi na wachezaji, umewaomba radhi mashabiki wanaoipenda na kuiunga mkono...
11 years ago
Mtanzania07 Aug
Tanesco yawaangukia walimu
![Shirika la Umeme Tanzania, Tanesco](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Tanesco.jpg)
Shirika la Umeme Tanzania, Tanesco
NA HUMPHREY SHAO, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limewataka walimu wanaofundisha shule za msingi za Serikali kutoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya umeme kwa wanafunzi.
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Meneja wa Afya na Usalama Kazini wa TANESCO, Mhandisi Mayige Mabula, alipokuwa akizungumza na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Ubungo National Housing.
Alisema ikiwa elimu itatolewa kwa wanafunzi, ni wazi itasaidia kuepuka...
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Ifa Band yawaangukia wadau
IFA Band yenye maskani yake Mburahati Madoto jijini Dar es Salaam imeomba kusaidiwa vyombo vya muziki ili iweze kusongesha tasnia ya muziki wa dansi na kukabiliana na hali ya soko la ajira hapa nchini. Bendi hiyo...