Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA WAWASHA MOTO TENA

Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Freeman Mbowe NA WAANDISHI WETU UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umewasha moto tena. Moto huo, unatoka na Ukawa kumwomba Rais Jakaya Kikwete kusitisha mara moja vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma kwa nia ya kuepusha upotevu wa fedha za walipakodi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa kutoa tamko la umoja huo, Mwenyekiti wa Maridhiano, James Mbatia, alisema baada ya majadiliano kati ya Rais...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA wawasha moto

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umetishia kuongoza maandamano ya Watanzania nchi nzima kupaza sauti zao kupitia mikutano ya hadhara, iwapo Rais Jakaya Kikwete atashindwa kutumia mamlaka yake kusitisha Bunge...

 

10 years ago

Mtanzania

Ukawa moto tena

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

NA WAANDISHI WETU

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umewasha moto tena.

Moto huo, unatoka na Ukawa kumwomba Rais Jakaya Kikwete kusitisha mara moja vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma kwa nia ya kuepusha upotevu wa fedha za walipakodi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa kutoa tamko la umoja huo, Mwenyekiti wa Maridhiano, James Mbatia, alisema...

 

9 years ago

Mtanzania

Wawakilishi CUF wawasha moto

0D6A9345Na Fredy Azzah, Dar es Salaam

WAKATI Jumuiya za kimataifa zikiendelea kushinikiza mgogoro wa kisiasa Zanzibar umalizwe, wawakilishi wateule 27 wa CUF Zanzibar, wamepigilia msumari wakisema wao ni wawakilishi halali na kwamba hawatambui kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar.

Wawakilishi hao wamesema kuwa, sheria na Katiba ya Zanzibar haziruhusu mtu yeyote kufuta matokeo yao, kwa kuwa walishatangazwa na kupewa vyeti vya ushindi.

Wawakilishi hao 18 kutoka Pemba na tisa kutoka Unguja ambao ni kati ya...

 

11 years ago

GPL

CHEGE,YP WAWASHA MOTO COCO BEACH

Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya Msomi John a.k.a War killer akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika Tamasha la Cheka Bombastik lililoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa ajili ya wateja wake katika msimu huu wa sikukuu ya pasaka na kufanyika kwa siku mbili mfululizo katika fukwe za bahari ya hindi coco beach. Mwanaidi Jumanne akiwa kwenye Swagga la ukweli la pasaka katika Tamasha la Cheka Bombastik...

 

10 years ago

Bongo5

Kili Music Tour 2014: Wasanii wawasha moto Dodoma

Mwishoni mwa wiki ilikuwa zamu ya wakazi wa makao makuu ya nchi, Dodoma kuishuhudia ziara ya wasanii waliofanya vizuri nchini kwa kipindi cha mwaka 2013/2014 maarufu kama Kilimanjaro Music Tour. Malkia wa mipasho nchini Khadija Kopa aliifungua Kili Music Tour mkoani Dodoma Ziara hiyo iliwakutanisha wasanii takribani 10 ambao walitoa burudani kwa maelfu ya wakazi […]

 

11 years ago

GPL

MZEE YUSUF NA JAHAZI WAWASHA MOTO DAR LIVE SIKUKUU YA KRISMASI

Mzee Yusuf akiwapagawisha mashabiki wa taarab Dar Live.…

 

11 years ago

GPL

NATURE, MZEE YUSUF, TUNDA MAN, KHADIJA KOPA, SNURA, KR, BAMBO WAWASHA MOTO SHOO YA SAYONA DAR LIVE

   Juma Nature akiwapagawisha mashabiki wake Dar Live. Mzee Yusuf akizikonga nyoyo za mashabiki. Tunda Man nae…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msikiti wa Mtambani waungua moto tena

MSIKITI wa Mtambani, Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, umeungua moto tena. Awali msikiti huo uliungua moto Agosti 13, mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA moto

VIONGOZI wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wametikisa Zanzibar huku wakitoa wito wa kutaka Zanzibar iwe huru. Ikiwa ni mara yao kwanza tangu wapate kibali cha Polisi kufanya mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani