Ukawa moto tena
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
NA WAANDISHI WETU
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umewasha moto tena.
Moto huo, unatoka na Ukawa kumwomba Rais Jakaya Kikwete kusitisha mara moja vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma kwa nia ya kuepusha upotevu wa fedha za walipakodi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa kutoa tamko la umoja huo, Mwenyekiti wa Maridhiano, James Mbatia, alisema...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
KwanzaJamii11 Sep
UKAWA WAWASHA MOTO TENA
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Msikiti wa Mtambani waungua moto tena
MSIKITI wa Mtambani, Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, umeungua moto tena. Awali msikiti huo uliungua moto Agosti 13, mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi...
11 years ago
Tanzania Daima01 May
UKAWA moto
VIONGOZI wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wametikisa Zanzibar huku wakitoa wito wa kutaka Zanzibar iwe huru. Ikiwa ni mara yao kwanza tangu wapate kibali cha Polisi kufanya mkutano...
11 years ago
Tanzania Daima13 Aug
UKAWA wawasha moto
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umetishia kuongoza maandamano ya Watanzania nchi nzima kupaza sauti zao kupitia mikutano ya hadhara, iwapo Rais Jakaya Kikwete atashindwa kutumia mamlaka yake kusitisha Bunge...
10 years ago
Mtanzania21 Aug
CCM yawaangukia tena Ukawa
![Nape Nnauye](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Nape-Nnauye.jpg)
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye
NA FREDY AZZAH, DODOMA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimempa kibarua kingine Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kuendelea na mazungumzo ya kusaka mwafaka na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.
Pamoja na hatua hiyo, CCM imesema imesikitishwa na hatua ya kuvunjika kwa mazungumzo yaliyohusisha viongozi wake na wale wa CUF, Chadema na NCCR-Mageuzi.
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu...
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Mutungi kuwakutanisha tena CCM, Ukawa
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: Moto wazuka tena katika Msikiti wa Mtambani leo
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Majimbo Ukawa hadharani, 12 bado moto
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
UKAWA kuwasha moto kesho Jangwani
MWENYEKITI wa Kamati ya Ufundi na Oganaizesheni ya Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA), Benson Kigaila, amesema serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM), inawaandaa watanzania kusaka njia mbadala ya kutafuta...