Mutungi kuwakutanisha tena CCM, Ukawa
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amesema kuwa mkutano wa maridhiano kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wale wa Chama cha Mapinduzi (CCM), unaweza kuitishwa tena siku yoyote ili kurejea kwenye majadiliano yao
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania21 Aug
CCM yawaangukia tena Ukawa
![Nape Nnauye](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Nape-Nnauye.jpg)
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye
NA FREDY AZZAH, DODOMA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimempa kibarua kingine Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kuendelea na mazungumzo ya kusaka mwafaka na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.
Pamoja na hatua hiyo, CCM imesema imesikitishwa na hatua ya kuvunjika kwa mazungumzo yaliyohusisha viongozi wake na wale wa CUF, Chadema na NCCR-Mageuzi.
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu...
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Jaji Mutungi: Ruzuku ni changamoto kwa Ukawa
11 years ago
Habarileo06 Jul
Jaji Mutungi atafuta upenyo kuwarejesha Ukawa bungeni
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ameingilia kati kuondoa changamoto zilizojitokeza katika awamu ya mchakato ya Bunge Maalumu la Katiba ambalo baadhi ya wafuasi wa kundi linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wengi wakiwa viongozi wa vyama vya upinzani, walisusia.
10 years ago
Mtanzania11 Sep
Ukawa moto tena
![Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/ukawa-viongozi.jpg)
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
NA WAANDISHI WETU
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umewasha moto tena.
Moto huo, unatoka na Ukawa kumwomba Rais Jakaya Kikwete kusitisha mara moja vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma kwa nia ya kuepusha upotevu wa fedha za walipakodi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa kutoa tamko la umoja huo, Mwenyekiti wa Maridhiano, James Mbatia, alisema...
10 years ago
KwanzaJamii11 Sep
UKAWA WAWASHA MOTO TENA
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Polisi yawapiga ‘stop’ tena Ukawa Zanzibar
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Kanuni zaibua tena mdahalo Bunge la #Katiba, Ukawa wahoji kwa nini zibadilishwe [VIDEO]
11 years ago
Mwananchi02 Mar
ULINGO sasa kuwakutanisha wanawake
10 years ago
Tanzania Daima20 Oct
JK kuwakutanisha mahasimu Sudan Kusini leo
RAIS Jakaya Kikwete leo amewaalika viongozi wakuu wa makundi yanayopingana nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na hasimu wake Riek Machar katika meza ya mazungumzo jijini hapa. Mualiko huo umekuja...