Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK kuwakutanisha mahasimu Sudan Kusini leo

RAIS Jakaya Kikwete leo amewaalika viongozi wakuu wa makundi yanayopingana nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na hasimu wake Riek Machar katika meza ya mazungumzo jijini hapa. Mualiko huo umekuja...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mahasimu wa Sudan Kusini wakutana tena

Mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Sudan Kusini na waasi yameanza tena katika nchi jirani ya Ethiopia.

 

9 years ago

BBCSwahili

UN: Mahasimu Sudan Kusini wanahodhi silaha

Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeshutumu serikali na waasi nchini Sudan Kusini kwa kuendelea kuhodhi silaha na kukiuka mkataba wa amani uliotiwa saini mwezi Agosti.

 

5 years ago

Michuzi

Mahasimu wa kisiasa Sudan Kusini waahidi kuunda serikali ya pamoja

Mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa upinzani Riek Machar wamesisitiza kuwa wataunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kufikia Jumamosi ya kesho (Februari 22) kama ilivyopangwa.

Wawili hao walitangaza hayo jana Alkhamisi, baada ya kambi hasimu wanazoziongoza kuhitalifiana kuhusu idadi ya majimbo ya nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

Waasi nchini Sudan Kusini walipinga pendekezo la Rais Salva Kiir ambalo lingeipelekea nchi hiyo kurejea katika idadi ya awali...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mahasimu wa Sudan Kusini wamesaini makubaliano ya kugawana madaraka, hii ina maana gani?

Utekelezwaji wa mkataba wa amani kwa Sudan Kusini ni jambo ambalo limeyumbisha nchi hiyo kwa miaka.

 

11 years ago

BBCSwahili

IGAD kupatanisha mahasimu Sudan.K

Viongozi wa IGAD wanakutana kwa kikao maalum mjini Adis Ababa nchini Ethiopia kujadili mzozo wa kisiasa unaokumba taifa la Sudan Kusini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahasimu waombwa kuruhusu misaada S Kusini

Mashirika ya misaada yanayofanyia kazi nchini Sudan kusini yamezitaka pande zinazohasimiana nchini humo kuruhusu misaada

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete, Rais wa Sudan Kusini kukutana Arusha leo

Rais Jakaya Kikwete leo ataongoza mazungumzo ya maridhiano baina ya makundi yanayopingana ndani ya chama tawala cha Sudan Peoples Liberation Movement (SPLM) cha Sudan Kusini.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA UPATANISHI WA CHAMA CHA SPLM YA SUDAN KUSINI JIJINI ARUSHA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie leo kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal,, Naibu Rais wa Afrika Kusini, Mhe Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais Kikwete, Rais Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya Kusini, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Makamu wa Rais wa Zamani wa Sudani ya Kusini Dkt...

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan.K :Mahasimu kuonana ana kwa ana

Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya viongozi wanaozozana nchini Sudan Kusini Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar, yanatarajiwa kuanza tena mjini Addis Ababa Ethiopia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani