Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahasimu wa Sudan Kusini wakutana tena

Mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Sudan Kusini na waasi yameanza tena katika nchi jirani ya Ethiopia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

UN: Mahasimu Sudan Kusini wanahodhi silaha

Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeshutumu serikali na waasi nchini Sudan Kusini kwa kuendelea kuhodhi silaha na kukiuka mkataba wa amani uliotiwa saini mwezi Agosti.

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK kuwakutanisha mahasimu Sudan Kusini leo

RAIS Jakaya Kikwete leo amewaalika viongozi wakuu wa makundi yanayopingana nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na hasimu wake Riek Machar katika meza ya mazungumzo jijini hapa. Mualiko huo umekuja...

 

5 years ago

Michuzi

Mahasimu wa kisiasa Sudan Kusini waahidi kuunda serikali ya pamoja

Mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa upinzani Riek Machar wamesisitiza kuwa wataunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kufikia Jumamosi ya kesho (Februari 22) kama ilivyopangwa.

Wawili hao walitangaza hayo jana Alkhamisi, baada ya kambi hasimu wanazoziongoza kuhitalifiana kuhusu idadi ya majimbo ya nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

Waasi nchini Sudan Kusini walipinga pendekezo la Rais Salva Kiir ambalo lingeipelekea nchi hiyo kurejea katika idadi ya awali...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mahasimu wa Sudan Kusini wamesaini makubaliano ya kugawana madaraka, hii ina maana gani?

Utekelezwaji wa mkataba wa amani kwa Sudan Kusini ni jambo ambalo limeyumbisha nchi hiyo kwa miaka.

 

10 years ago

Vijimambo

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) ulitiwa saini usiku wa jana, Jumatano, Januari 21, 2015, katika sherehe ya kufana iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Ngurdoto, Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha.

Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahasimu India na Pakistan wakutana

Mkutano kati ya mataifa jirani na hasimu yaani India na Pakistan umefanyika baada ya kuahirishwa kwa zaidi ya miezi minne kufuatia kuzorota kwa uhusiano

 

10 years ago

Michuzi

Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza utiaji wa saini. Kutoka kulia ni  Mhe. Salva Kiir Mayardit  Rais wa Sudan Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa SPLM na anayeongoza kundi linalojulikana kama SPLM in Government (SPLM-IG), Mhe Dkt. Riek Machar ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa SPLM na pia aliyekuwa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini anayeongoza kundi la SPLM in Opposition (SPLM-IO) na Dkt. Deng Alor Kuol ambaye anaongoza kundi la SPLM Leaders- Former Detainees (SPLM Leaders – FD). Nyuma yao ni...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita vyazuka tena Sudan Kusini

Pande zote katika mzozo wa Sudan Kusini zalaumiana kwa kuibuka upya kwa vita

 

11 years ago

BBCSwahili

Mapigano makali yaanza tena Sudan Kusini

Mapigano makali yamekuwa yakiendelea katika mji wa Bentiu nchini Sudan Kusini ambapo vikosi vya serikali vinajaribu kuurejesha mji huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani