BAADA YA WAZIRI KUMUWEKEA NGUMU CHRIS BROWN: MSIJISUMBUE, NAKUJA KUFANYA SHOO
![](http://api.ning.com:80/files/viirmOBcoEEFHN62zZ*fOp46DJMDqTnzN-SOX*COvXOK*8rFyNae-F0JjdzVcdpDmPnd9flUU0fv2Fwhc5GOK4KtWXaoF-62/chrisbrown768.jpg?width=650)
Mwanamuziki wa muziki wa RnB, Chris Brown. New York, Marekani MKALI wa muziki wenye mahadhi ya RnB, Chris Brown, ameibuka na kujibu zile taarifa zilizotoka kuwa kawekewa ngumu kwenda Australia kwa ajili ya kufanya shoo Desemba, mwaka huu kwa kusema: “Nakujaâ€. Mwishoni mwa wiki iliyopita kulikuwepo taarifa kwenye mitandao mbalimbali kuwa staa huyo wa Kibao cha Royal, amewekewa ngumu kwenda nchini humo kufanya shoo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo505 Nov
Alikiba kufanya kazi na ‘choreographer’ wa Rihanna, Justin Bieber, Ciara, Nicki Minaj, Chris Brown, Ne-Yo etc!
![Kiba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Kiba-300x194.jpg)
Alikiba atafanya kazi na mwalimu wa dance (choreographer) maarufu zaidi nchini Marekani na ambaye CV yake inatisha, Oththan Burnside. Ni Burnside mwenyewe ndiye aliyetangaza habari hiyo njema kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Akiweka picha ya hitmaker huyo wa ‘Mwana’, Burnside ameandika, “Excited to be working with @officialalikiba #EastAfrica #KingKiba your in great hands! #OtheezyCreatedIt #CreativeDirector #Choreographer S/O @msaagency @Brandonlouisla!!! #MSASquad #MSAFAM thank you...
9 years ago
Bongo518 Dec
Chris Brown ampindua Adele kwenye nafasi ya kwanza iTunes baada ya kuachia ‘Royalty’
![breezy royalty new](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/breezy-royalty-new-300x194.jpg)
Album mpya ya Chris Brown, ‘Royalty’ imeingia sokoni kwa kishindo.
Masaa machache toka iachiwe Ijumaa (Dec 18) imefanikiwa kuiondoa ‘25’ ya Adele na kushika namba moja kwenye chati ya album zilizouza kwa haraka kwenye mtandao wa iTunes. ‘25’ ya Adele sasa imeshuka hadi nafasi ya pili kwenye chati hiyo.
‘Royalty’ ni album ya saba kutoka kwa Breezy, iliyofatia baada ya ‘X’ aliyoitoa mwaka mmoja uliopita.
ROYALTY TRACKLISTING
1. “Back to Sleep”
2. “Fine By Me”
3. “Wrist” feat. Solo Lucci
4....
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Ni mdundo baada ya mdundo… hii ni nyingine kutoka kwa Chris Brown, ‘Wrist’ feat. Solo Lucci – (Video)!
Staa wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown anazidi kuzisogeza videos kutoka kwenye album yake ya saba, Royalty. Baada ya kusiogeza kwetu video ya Back to Sleep jana 15 December 2015, leo staa huyo anaileta kwetu mdundo mwengine kwenye video, ngoma inaitwa Wrist na hii pia inapatikana kwenye album mpya ya Chris Brown, Royalty itakayokuwa sokoni […]
The post Ni mdundo baada ya mdundo… hii ni nyingine kutoka kwa Chris Brown, ‘Wrist’ feat. Solo Lucci – (Video)! appeared first on...
10 years ago
Bongo509 Oct
Video: Wizkid azungumzia collabo yake na Chris Brown ‘African Bad Girl’, pia kufanya video na Tyga
9 years ago
Bongo529 Sep
Mtoto wa Chris Brown sasa ni Royalty Brown rasmi
9 years ago
Bongo518 Sep
Video: Chris Brown — Zero
9 years ago
Mtanzania27 Aug
Kabla ya arobaini, Bobby Brown afanya shoo
![150214-news-bobby-brown](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/150214-news-bobby-brown-300x200.jpg)
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Bobby Brown, juzi alipanda jukwaani na kufanya onyesho la kwanza tangu kifo cha mtoto wake, Kristina kilichotokea Julai mwaka huu.
Kristina alizikwa Agosti 3 mwaka huu, hivyo siku 23 tu zimepita amefanya onyesho huku akiwashukuru waliohudhuria onyesho hilo.
“Nawashukuru sana kwa uwepo wenu siku ya leo, pia nawashukuru wale wote mliomuombea mwanangu wakati alipokuwa akiugua,” alieleza Brown.
Hata hivyo, wakati baba huyo akitumbuiza,...