Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABY MADAHA AJIBU MAPIGO KWA STEVE NYERERE

Stori: Nyemo Chilongani VITA ni vita! Mwanadashosti anayesukuma maisha laifu kupitia filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha amesema anamshangaa Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ kwa kauli aliyoitoa dhidi yake kuwa hayupo sehemu yoyote ile. Baby Madaha. Akifafanua kuhusiana na kauli hiyo aliyoitoa mwenyekiti huyo wiki iliyopita, Baby alijibu mapigo kuwa kiongozi huyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE: BABY MADAHA HAELEWEKI

Stori: Mayasa Mariwata MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema anashindwa kumtathimini msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha kutokana na kujitenga na wasanii wenzake. Msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha.  Akifafanua kauli yake, Steve alisema mwanadada huyo anamshangaza sababu hajui yupo kundi lipi kwa kuwa kwenye Bongo Movie hayupo na wala hana kadi ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kushambuliwa kwa Kumpa Break Nuh Mziwanda, Shilole Ajibu Mapigo

Baada ya Shilole kutangaza kumpa break mwenzi wake Nuh Mziwanda kwa muda wa mwezi huu mzima, wakitarajia kuendeleza malavi davi yao baada ya kipindi hiki kitakatifu kupita, baadhi ya  mashabiki ambao wanajinasibu kuijua dini  wamekuwa wakimshambulia Shilole kwa maneno kwenye mitandao ya kijamii kuwa kitendo cha kutaka kumrudia tena Miziwanda  bila ndoa sio sawa kwa upande wa dini na wengine kwenda mabli zaidi na kudai hata kazi yake ya sanaa ambayo humfanya kukata maouno pia haifai, kitendo...

 

11 years ago

Mwananchi

Manji ajibu mapigo

>Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amewashangaa wanachama wanaopinga uongozi wake kukaa madarakani kwa mwaka mmoja zaidi na kuwataka kujiorodhesha watakapofikia 1560 atakuwa tayari kuitisha mkutano ili kujiuzulu.

 

9 years ago

Vijimambo

Kiiza ajibu mapigo Yanga

HAMISI Kiiza jana alituma salamu kwa Yanga baada ya kuifungia Simba mabao matatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Hizo ni salamu kwa Yanga kupitia mchezaji wake huyo wa zamani kwani watani hao wa jadi Jumamosi watamenyana kwenye uwanja huo.

Yanga juzi iliifunga JKT Ruvu mabao 4-1 na kufikisha pointi tisa, sawa na Simba zikiwa zimetofautiana uwiano wa mabao. Mechi hiyo ilianza kwa kushambuliana kwa zamu na Kiiza...

 

9 years ago

Mwananchi

Sumaye ajibu mapigo ya CCM

Wakati Waziri Mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye akitangaza kuihama CCM, alidokeza kuwa siku moja chama hicho kitaona umuhimu wake, na jana alianza kuonyesha hilo alipopangua hoja dhidi ya mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa huku akianika uozo wa Serikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chiku Abwao ajibu mapigo

MBUNGE wa Viti Maalum, Chiku Abwao (Chadema), amewashukia wanaomzushia kuwa amewasaliti wenzake wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), na kuhudhuria vikao vya Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini hapa....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mchungaji Msigwa ajibu mapigo

WAZIRI Kivuli wa Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa, amewataka wamiliki wa Kampuni ya uwindaji ya kitalii ya Green Mile Safari Ltd (GMS), wajibu hoja za msingi dhidi ya tuhuma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sugu ajibu mapigo ya CCM

BAADA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kumshambulia Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), ukimuita mpangaji katika jimbo hilo, amewajibu akisema kuwa wanaota ndoto za mchana....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani