Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Dora Msechu apokea uongozi wa Kilimanjaro FC ubalozini na kukubali kuwa mlezi wa timu hiyo

Mhe. Balozi Dora Msechu ameupokea Ubalozini  Ujumbe wa timu maarufu  ya soka ya watanzania waishio Sweden,  Kilimanjaro FC, ambao walikuja kumkabidhi Mhe. Balozi makombe waliyoshinda kwenye mashindano mbalimbali hapa Sweden. Mhe. Balozi Dora Msechu ameipongeza na kuishukuru Kilimanjaro FC kwa kuiwakilisha vyema nchi yetu kwenue fani ya michezo hapa Sweden na kuwahamasisha waongezee bidii zaidi na wasibweteke na mafanikio wanayoyapata.
Aidha, Mhe. Balozi Dora Msechu amekubali ombi la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

APOKEA UONGOZI WA KILIMANJARO FC UBALOZINI NA KUKUBALI KUWA MLEZI WA TIMU HIYO

Mhe. Balozi Dora Msechu ameupokea Ubalozini Ujumbe wa timu maarufu ya soka ya watanzania waishio Sweden, Kilimanjaro FC, ambao walikuja kumkabidhi Mhe. Balozi makombe waliyoshinda kwenye mashindano mbalimbali hapa Sweden. Mhe. Balozi Dora Msechu ameipongeza na kuishukuru Kilimanjaro FC kwa kuiwakilisha vyema nchi yetu kwenue fani ya michezo hapa Sweden na kuwahamasisha waongezee bidii zaidi na wasibweteke na mafanikio wanayoyapata.
Aidha, Mhe. Balozi Dora Msechu amekubali ombi la Kilimanjaro...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MSECHU AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA SWEDEN

Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Dora Msechu (kushoto) amekutana na wafanyabiashara wa Sweden kwenye mkutano ulioandaliwa na Baraza la Biashara la Sweden na Afrika Mashariki(Swedish East Africa Chamber of Commerce)
Mhe. Balozi Dora Msechu amewahamasisha Wafanyabiashara wa Sweden kuwekeza Tanzania kwa kuwaeleza fursa za uwekezaji zilizopo na mikakati ya Serikali ya Tanzania ya kuboresha miundombinu.Sehemu ya Wafanyabiara hao wa nchini Sweden wakiwa kwenye kikao na Balozi wa Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MMARI MSECHU AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO DENMARK.


Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akiongea na Watanzania waishia Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 siku alipokutana nao kwenye  Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..
Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akisalimiana na  watanzania waishio nchini Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme wa Norway

Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) akisalimiana na Mfalme Harald V wa Norway wakati alipowasilisha Hati zake za Utambulisho tarehe 15 January, 2015.Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway wakati alipowasilisha Hati zake za Utambulisho tarehe 15 January, 2015.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Malkia wa Denmark.

Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic na Baltiki, Mhe. Bibi Dora Mmari Msechu awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa  Mtukufu Malkia  Margrethe II wa Denmark tarehe 20 Februari 2015. Picha ya pamoja na Mkuu wa Kasri la Malkia  baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.    

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Marais wa Latvia na Lithuania

 Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) awasilisha Hati ya Utambulisho kwa Rais wa Lithuania,Mh.Dalia Grybauskaitė kwenye ikulu ya nchi hiyo leo. Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu akiwa pamoja na Rais wa Lithuania,Mh.Dalia Grybauskaitė mara baada ya kuwasilisha hati ya utambulisho wake,kwenye ikulu ya nchi hiyo leo.Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu awasilisha Hati ya...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Finland

 "Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic,  na Baltic Mheshimwa Dora Mmari Msechu aliwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Finland, Mheshimiwa Sauli Niinistö  jijini Helsinki Alhamisi 4 Desemba, 2014" "Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic,  na Baltic Mheshimwa Dora Mmari Msechu katika picha ya pamoja na   Rais wa Finland, Mheshimiwa Sauli Niinistö  baada ya kuwasilisha hati zake za utambulisho jijini Helsinki Alhamisi 4 Desemba, 2014. Kulia ni Afisa wa Ubalozi ni Yusuph Mndolwa

 

10 years ago

Michuzi

Taswira za Sherehe ya WaTanzania nchini Sweden na mkutano wa kumkaribis​ha balozi Dora Msechu

Mama Dora Msechu Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchi za Nordic na Baltic alipokelewa kwa shangwe mwihoni mwa juma ambapo  Watanzania kibao walifika kutoka karibia kila kona ya Sweden. Siku ilianza kwanza na mkutano na Mama Dora Msechu kujitambulisha rasmi kwawatanzania. Baada ya mkutano kulikua na chakula na Dansi kusherekea Tanzania day. Kivutio kingine kikubwa ni umahiri wa maDJ wakali hapa Sweden wakitambulika kwa majina ya Dj Richie na Dr Erick Kalebi ambao walitumbuiza mziki wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda aagana na Balozi mteule wa Tanzania, nchini Sweden Dora Msechu

PG4A9487

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi  Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu kabla ya mazungumzo yao,ofisini kiwa Waziri Mkuu  mjini Dodoma,  May 16, 2014. Balozi huyo mteule alkwenda kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9494

 Waziri Mkuu Mkizengo Pinda  akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, ofisini kwake mjini Dodoma May 16, 2014. Balozi huyo Mteule alikwenda kuaga. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani