Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI KAMALA AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MISAADA NA MIKOPO YA FINEXPO YA SERIKALI YA UBELIGIJI

Balozi WA Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Misaada na Mikopo ya FINEXPO ya Serikali ya Ubeligiji baada ya kumaliza kikao nao ofisini kwao Brussels leo. Balozi Kamala ameshauriana nao kuhusu miradi mbalimbali ya Tanzania inayoweza kufadhiliwa na Kamati ya FINEXPO.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSOMA VYUO VIKUU VYA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania  Ubeligiji (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaosoma kwenye vyuo vikuu vya Ubeligiji . Balozi Kamala kakutana na Watanzania hao Jumamosi jijini Brussels kuzungumzia maswala mbalimbali ikiwemo masomo na changamoto zake pamoja  na maendeleo ya nyumbani Tanzania.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ASHUKURU BENKI YA MAENDELEO YA ULAYA KWA MIKOPO NA MISAADA INAYOITOA KWA NCHI ZA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP)

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa nchi za ACP Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akishukuru Benki ya Maendeleo ya Ulaya (EIB) kwa kutoa  mikopo ya gharama nafuu na kusaidia Maendeleo ya nchi za ACP. Balozi Kamala ameitaka Benki hiyo kuongeza kiwango cha mikopo inayotoa katika nchi za ACP kutoka asilimia 10 ya mikopo inayotoa sasa hadi asilimia 20. 
Kamati ya Mabalozi wa nchi za ACP leo imekutana na Uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Ulaya, Luxembourg...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKARIBISHWA JIJINI WETTEREN UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akilisikiliza maelezo kuhusu zawadi aliyokabidhiwa kama ishara ya kumkaribisha jijini Wetteren Ubeligiji. Anayetoa maelezo ni Mhe. Live De Gelder Mkuu wa Idara ya Ustawi wa Jamii jijini Wetteren. Balozi Kamala leo atatembelea viwanda mbalimbali jijini Wetteren na atakutana na Wafanyabiashara kueleza fursa za biashara na uwekezaji Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AITANGAZA TANZANIA WETTEREN UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akihutubia wakati akitambulisha fursa za uwekezaji na biashara zinazopatikana Tanzania katika Kongamano la kuitangaza Tanzania lililofanyika Wetteren Ubeligiji. Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji umeandaa Kongamano hilo kwa kushirikiana na kampuni za Recticel, SGS, Zonpunt na Chuo Kukuu cha Ghent. Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akitambulisha fursa za uwekezaji na biashara zinazopatikana Tanzania katika Kongamano la...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AAGANA VIONGOZI WA TAASISI YA WAFANYABIASHARA YA UBELIGIJI

Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa taasisi ya Wafanyabiara Ubeligiji baada ya kumaliza kikao cha kuagana nao  Brussels. Balozi Kamala anarejea Tanzania baada ya kumaliza kipindi chake cha Kuwa Balozi wa Tanzania Ubeligi, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUMI NA BIASHARA WA SERIKALI YA BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimkabidhi kitabu kinachobainisha fursa za uwekezaji Tanzania Waziri wa uchumi na biashara wa serikali ya Brussels Mhe. Didier Gosuin. Balozi Kamala amekutana na waziri Gosuin ofisini kwake Brussels leo.

 

11 years ago

Michuzi

KIONGOZI MKUU WA SERIKALI YA JIMBO LA FLANDERS LA UBELGIJI AKUTANA NA BALOZI KAMALA

Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Jimbo la Flanders la Ubelgiji Mhe. Kris Peeters akisalimiana na Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala. Balozi Kamala amemtembelea Mhe. Kris Peeters leo ofisini kwake Brussels.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA WABELGIJI WANAOZUNGUMZA KIJERUMANI

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Serikali ya Wabelgiji Wanaozungumza Kijerumani,Mhe. Oliver Paasch,wakati alipokutana nae leo ofisini kwake jijini Eupen Ubelgiji.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk. Diodorus Buberwa akimkabidhi zawadi Waziri Mkuu wa Serikali ya Wabelgiji Wanaozungumza Kijerumani,Mhe. Oliver Paasch baada ya kumaliza mazungumzo naye ofisini kwake Eupen Ubelgiji.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KONGAMANO LA KIMAITAIFA LA BIASHARA UBELIGIJI

 Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Laxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Kutoka Nchi Mbamlimbali Duniani Baada ya Ufunguzi Rasmi wa Kongamano la Biashara la Kimataifa linalofanyika Genval Ubeligiji. Makampuni zaidi ya 500 yakiwemo hamsini kutoka Tanzania yanashiriki Kongamano hilo. 
Makampuni hapo yanatoka nchi zinazozungumza kifaransa. Tanzania ni nchi pekee inayozungumza kingereza iliyokaribishwa kushiriki....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani