Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Liberata Mula mula atembelea VOA

Balozi in VOA 027Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA Mwamoyo Hamza akiwa na Mh.balozi wa Tanzania Washington Dc na Mexico Liberata Mula mula alipotembelea idhaa hiyo Jumatano Machi 12, 2014. Balozi in VOA 001Kushoto Mkamiti Kibayasi, akiwa na Mh.balozi Liberata Mula mula na Khadija Riyami katika ofisi za idhaa ya Kiswahili ya VOA. Balozi in VOA 007Mh.balozi Liberata Mula mula akijibu maswali katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili ya VOA. Balozi in VOA 008Khadija Riyami akimhoji balozi Mula mula. Balozi in VOA 003Sunday Shomari na Mh.balozi Mula mula na Khadija Riyami. Balozi in VOA 021

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Music: The Game Ft. Kanye West — Mula

Rapper The Game’s forthcoming album The Documentary 2—”Mula” featuring Kanye West—has leaked (via Miss Info). Game and ‘Ye, whose first collaboration “Dreams” dates back to 2005, trade triumphant bars over rattling percussion and moaning vocal samples. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose […]

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AKISHIRIKI KAMPENI YA MAZINGIRA KATIKA SOKO LA MASAMA-MULA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai (Mwenye kofia katikati) akishirikiana na wananchi wa Lukeni, Kata ya Masama-Mashariki kufanya usafi katika Soko la Masama-Mula mwishoni mwa juma, katika kampeni ya kutunza mazingira kwenye jimbo hilo iliyopewa jina la 'Keep Hai Clean' ikitumia gari maalum la kukusanyia taka lenye uwezo wa kubeba tani 32 za taka ambalo Mbunge huyo alitoa msaada kwa wananchi wake hivi karibuni.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.

Mhe. Katibu Mkuu Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC mara baada ya kuwasili Ubalozi. ( TANZANIA HOUSE). Mhe. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya  Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akisaini kitabu cha wageni Ubalozini Washington DC.
 Mhe Katibu Mkuu akiwa pamoja na Mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC Bi. Swahiba H. Mndeme.

Mhe. Katibu Mkuu akiwa katika kikao na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania,...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI LIBERATA MULAMULA AKIBIDHIWA OFISI RASMI NA BALOZI JOHN HAULE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akikabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekua Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi John Haule. Kabla ya Uteuzi huo Balozi Mulamula alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Balozi Haule kwa sasa ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya.Makabidhiano hayo yalifanyika Wizarani leo tarehe 01 Juni, 2015.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE

Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE


Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

11 years ago

GPL

MTANGAZAJI SUNDAY SHOMARI WA VOA ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO

Mtangazji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA), Sunday Shomari akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Sunday Shomari akiwa katika pozi na wahariri wa Magazeti ya Global…

 

10 years ago

Vijimambo

PICTURE OF THE DAY BALOZI LIBERATA MULAMULA

 Mheshimiwa balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula akiwa amependeza sana na vazi nadhifu la kiafrika tayari kuelekea THE WHITE HOUSE kujumuika na mabalozi wengine kufuatia mwaliko wa  Mhe Barack Obama, Rais wa Marekani na mkewe Michelle Obama.
 PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI.

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA CALIFORNIA WAMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA

 Watanzania California wakiongozwa na Balozi wa Heshima Mhe. Ahmed Issa walijumuika pamoja siku ya Ijumaa na kumuaga Balozi Liberata Mulamula anayemaliza muda wake kama Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico na kurudi nyumbani kwenda kulitumikia taifa kama Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Watanzania wa California wakipiga picha ya pamoja na Mhe. Balozi Libarata Mulamula (wapili toka kushoto) siku ya Ijumaa July 31, 2015 walipomuaga rasmi. Balozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani