Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI MDOGO MISRI NCHINI AMUAAGA RAIS DKT. SHEIN WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed Ismail, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo wa Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed Ismail, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein afanya mazungumzo na Balozi Mdogo wa China


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw. Xie Xiaowu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar  Bw. Xie Xiaowu wakati  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa  ajili ya kusalimiana Rais wa...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba amuaga Rais wa Zanzibar Dkt Shein

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi  wa Tanzania Nchini  Urusi  Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba alipofika kumuaga Rais leo Ikulu Mjini ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na  Balozi  wa Tanzania Nchini  Urusi  Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba alipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini ZanzibarPicha na Ramadhan Othman,Ikulu. 

 

11 years ago

GPL

BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI LT.GEN WYNJONES MATHEW KISAMBA AMUAGA RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi  wa Tanzania Nchini Urusi  Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba alipofika kumuaga Rais leo Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala alipofika Ikulu Mjini Zanzibarkujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifuatana  na Balozi  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala baada ya mazungumzo yao leo alipofika  Ikulu Mjini...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MSUMBIJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar Jorge Augusto Menezes alipofika Kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar Jorge Augusto Menezes baada ya mazungumzo yao leo alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu Zanzibar.]

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI MTEULE MAKAKALA NCHINI ZIMBABWE AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala alipofika Ikulu Mjini Zanzibarkujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifuatana  na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala baada ya mazungumzo yao leo alipofika  Ikulu Mjini...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA MABALOZI WA UJERUMANI NA MISRI,IKULU ZANZIBAR LEO.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke (katikati) alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi akifuatana na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Tamasha la Afrika Stefan Oschman (kushoto). Rais wa Zanzibar na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani