Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI MTEULE MAKAKALA NCHINI ZIMBABWE AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala alipofika Ikulu Mjini Zanzibarkujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifuatana  na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala baada ya mazungumzo yao leo alipofika  Ikulu Mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala alipofika Ikulu Mjini Zanzibarkujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifuatana  na Balozi  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala baada ya mazungumzo yao leo alipofika  Ikulu Mjini...

 

10 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akutana na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Rwanda

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Rwanda zina wajibu wa kuendelea kushirikiana pamoja katika kudumisha udugu na ujirani mwema kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kihistoria uliopo kati ya mataifa hayo mawili wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Rwanda Balozi Said Ali Siwa aliyekuja kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jamuhuri ya...

 

9 years ago

Vijimambo

Balozi mpya wa Denmark nchini na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malawi wakutana na Dk Shein Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Denmark katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Einar Hebogard alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi mpya wa Denmark katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Einar Hebogard alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi wa COMORO NCHINI akutana na Rais Dk.Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo .Picha na Ikulu.

 

9 years ago

Vijimambo

Dk.Shein Azungumza na Balozi Mpya wa India na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Saudia Arabia.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya aliyefika kujitambulisha leo Ikulu Mjini ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN LEO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haule alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi Mteule waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haulealipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

11 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akutana na balozi a Israel nchini

Serikali ya Israel imekusudia kuunga mkono harakati za Kiuchumi na Maendeleo ya Zanzibar ili kuona ustawi wa maisha ya Wananchi wa Zanzibar katika dhana nzima ya kukabiliana na ukali wa maisha na kupunguza umaskini inafanikiwa.  Kauli hiyo imetolewa na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Bwana Gil Haskeli aliyefika nyumbani kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Bara bara ya Haile Selassie Jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kuimarisha uhusiano kati ya pande hizo...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI MDOGO MISRI NCHINI AMUAAGA RAIS DKT. SHEIN WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed Ismail, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo wa Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed Ismail, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani