Balozi: Mgogoro wa Palestina na Israel si wa dini
Balozi wa Palestina nchini, Dk Nasri Abujaish amesema mgogoro unaoendelea kati ya taifa lake na Israel hauna uhusiano wowote na dini kama inavyoenezwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Balozi Palestina ataka Israel ikemewe
BALOZI wa Palestina nchini, Nasri Abu Jaish, ameiomba Tanzania na jumuiya ya kimataifa kuikemea Israel iache kufanya mauaji ya kinyama kwa Wapalestina. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari jijini...
11 years ago
BBCSwahili26 Apr
Palestina kulitambua taifa la Israel
Rais wa Palestina, Mahmuoud Abbas amesema serikali ya pamoja itakayowajumuisha kundi la Hamas, italitambua taifa la Israel.
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Kerry: Israel na Palestina zungumzeni
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry srael na Palestina kutia maanani usitishwaji wa mapigano.
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Israel yadai kubaguliwa na Palestina
Israel imesitisha uhusiano wa kidiplomasia na wawakiishi kutoka umoja wa ulaya
10 years ago
BBCSwahili04 Jan
Israel kusitisha msaada kwa Palestina
Israel inasema kuwa itasimamisha fedha kwenda kwa utawala wa Palesina kutokana na hatua ya taifa hilo kutaka kujiunga na ICC.
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
Israel,Palestina zaombwa kuacha mapigano
Afisa wa Umoja wa mataifa anayeshughulikia maswala ya haki za binaadam, amekemea mashambulizi ukanda wa Gaza
11 years ago
GPLSHAMBULIO LA ISRAEL KATIKA SHULE YA UN PALESTINA LAUA 10
Baadhi ya majeruhi katika shambulio hilo wakipatiwa huduma ya kwanza. Mpalestina huyu akijaribu kuokoa maisha ya mtoto baada ya kushambuliwa na Israel leo.…
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4bIsJDjFjL5gP84Ehvc0MJGPo5EHV4WSYHJmxlwcjdsrQ6*uIv4oxmFD9gj74C*IVb2a55vw1inSRIhvYVh6enw0E3VzNnKz/aliensET.jpg?width=650)
ALIENS WAONEKANA PALESTINA, ISRAEL, IRAN NA AUSTRALIA!
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mpenzi msomaji wiki iliyopita nilieleza kwa kina ni kwa jinsi gani viumbe wa ajabu wa Aliens walivyoliteka anga la Mexico kwa mgongo wa UFO. Tuliona kuwa Julai 11, 1991, watu wapatao 17 ambao hawakuwa na uhusiano wowote katika maeneo tofauti nchini humo, wakiwa na kamera zao, walinasa picha ya sinia kubwa la chuma karibu kabisa na usawa wa jua ambalo muda mfupi nyuma lilikuwa limepatwa. Sinia hilo...
11 years ago
Bongo520 Jul
#GazaUnderAttack: Fahamu kwanini Israel na Palestina zinagombana juu ya Gaza
Kama ulikuwa na hamu ya kufahamu kwa maelezo rahisi na ya kueleweka ya kisa cha ugomvi wa Israel na Palestina uliodumu kwa miaka mingi na sasa ukatili ukiendelea huko Gaza, makala hii itakupa mwanga. Wapalestina wakiwa wamejihifadhi kwenye shule baada ya kukimbia makazi yao kufuatia mashambulio ya anga na ardhini ya Israel yanayoendelea kwenye ukanda […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania