Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


#GazaUnderAttack: Fahamu kwanini Israel na Palestina zinagombana juu ya Gaza

Kama ulikuwa na hamu ya kufahamu kwa maelezo rahisi na ya kueleweka ya kisa cha ugomvi wa Israel na Palestina uliodumu kwa miaka mingi na sasa ukatili ukiendelea huko Gaza, makala hii itakupa mwanga. Wapalestina wakiwa wamejihifadhi kwenye shule baada ya kukimbia makazi yao kufuatia mashambulio ya anga na ardhini ya Israel yanayoendelea kwenye ukanda […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Fahamu kwanini idadi ya vifo vya coronavirus iko juu Italy?

Mlipuko wa virusi vya corona unaendelea kuliathiri pakubwa taifa la Itali, huku hospitali zikishindwa kumudu idadi ya maambukizi mbali na kuwekwa kwa sheria ya kutotoka nje.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kerry: Israel na Palestina zungumzeni

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry srael na Palestina kutia maanani usitishwaji wa mapigano.

 

9 years ago

BBCSwahili

Israel yadai kubaguliwa na Palestina

Israel imesitisha uhusiano wa kidiplomasia na wawakiishi kutoka umoja wa ulaya

 

11 years ago

BBCSwahili

Palestina kulitambua taifa la Israel

Rais wa Palestina, Mahmuoud Abbas amesema serikali ya pamoja itakayowajumuisha kundi la Hamas, italitambua taifa la Israel.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel yaendeleza mashambulizi Gaza

Wapalestina 9 wameuawa na Israel wakitizama mchuano wa kombe la Dunia, ndani ya mgahawa mmoja katika mji wa Khan Yunis huko Gaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel yaanza kushambulia Gaza

Israel imeanza kufanya mashambulizi ya angani dhidi ya Gaza baada ya siku tatu ya makubaliano ya kusitisha vita ukanda wa Gaza

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel yazidi kuishambulia Gaza

Wapalestina zaidi ya 200 wauawa katika mashambulio zaidi ya Israel dhidi ya Gaza,mapendekezo ya kusitisha mapigano yakitibuka

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Israel waondoka Gaza

Serikali ya Israel imetangaza kuondoa wanajeshi wake wote katika maeneo wanakotekelezea mashambulizi nje ya ukanda wa Gaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gaza:Mwanajeshi wa Israel aliuawa

Jeshi la Israel limesema kuwa mmoja wa wanajeshi wake ambaye aliaminika kutekwa na wapiganaji wa kipalestina ameuawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani