Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi seif ahitimisha ziara ya siku mbili Mkoa wa Magharibi, Unguja

Mlezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Magharibi Kichama ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi amewahakikishia wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwamba uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2015 unatarajiwa kuwa wa utulivu na amani. Alisema Serikali kupitia vyombo vyake vya dola vitahakikisha kuwa vikundi vya kihuni vinavyoanza kuandaliwa kwa ajili ya kuvuruga uchaguzi huo itapambana navyo kwa nguvu zake zote. Balozi Seif Ambae pia ni Makamu wa Pili wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AHITIMISHA ZIARA YAKE YA MKOA WA RUVUMA

Na Othman Khamis Ame.OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Serikali itaendelea na juhudi zake katika kuona mazao ya wakulima vijijini hasa chakula cha nafaka  yananunuliwa ili kuwaongezea uwezo wa kimapato wakulima hao katika kyukabiliana na ukali wa maisha. Balozi Seif alisema hayo wakati akizungumza na Wananc hi wa Kijiji cha Lugagala kwenye mkutano wa hadhara baada ya kushiriki kazi za ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kijiji hicho pamoja na kuweka jiwe la msingi...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AHITIMISHA ZIARA YAKE UNGUJA

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Magharibi "A" na "B". Wananchi wakimsalimia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad wakati akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Magharibi "A" na "B". Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimfariji kijana mgonjwa wakato akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO JIMBO LA MPENDAE,MKOA WA MJINI MAGHARIBI

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho,waliofika kwa wingi katika mkutano wa hadhara,wakati Ndugu Kinana alipokuwa akihitimisha ziara yake katika jimbo la Mpendae,wilaya ya Amani mkoa wa Mjini Magharibi.Ndugu Kinana kabla ya kuhitimisha ziara hiyo alishiriki kazi za kijamii na kukagua miradi mbalimbali ya chama.Sehemu ya umati wa Wakazi wa wilaya ya Mpendae na wanachama wa CCM wa jimbo la Mpendae,wilaya ya Amani,Mkoa wa Mjini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ahitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili Vietnam

ho1

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete lies a wreath at the Mausoleum of the First President Ho Chi Minh in Hanoi on  his last leg of his two-day official visit to Vietnam today October 28, 2014.

ho2

ho3

ho4

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete visits the Hung Fen Food Stuff Corporation at Trung Son in Hanoi on his last leg of his two-day official visit to Vietnam today October 28, 2014.

ho6

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete shown some historical items as he visits the Garment 10 Corporation textile mill...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Lukuvi ahitimisha ziara ya siku mbili kushuhudia utendaji wa NHC

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa leo. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo ya Injinia wa NHC, Elisante Ulomi anayesimamia Mradi wa Mwongozo Housing Estate mchana wa leo. Nyumba za mradi mkubwa wa NHC Morocco Square, Dar es Salaam zikiwa zinajengwa katika hatua ya msingi, ...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI LUKUVI AHITIMISHA ZIARA YA SIKU MBILI ASHUHUDIA UTENDAJI WA NHC

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo jana mchana.
Nyumba za gharama nafuu za NHC Mwongozo, Kigamboni Dar es Salaam zinavyoonekana wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi alipozitembelea. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi… ...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YAKE RASMI YA SIKU MBILI VIETNAM‏

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete lies a wreath at the Mausoleum of the First President Ho Chi Minh in Hanoi on  his last leg of his two-day official visit to Vietnam today October 28, 2014…

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Idd azungumza na Viongozi wa Mkoa wa Magharibi, Zanzibar

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika mkutano wa ujirani mwema kati ya Kata ya Mtoni Wilaya ya Temeka na Wilaya ya Dimani hapo Tawi la CCM Kwerekwe B.Mkuu wa Msafara wa Ujumbe wa Kata ya Mtoni Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Nd.Said Kabuma akitoa shukrani kwa mapokezi mazuri waliyopewa na wenyeji wao Wilaya ya Dimani wakati wa kuagana baada ya kumaliza ziara yao ya ujirani mwema Zanzibar.Baadhi ya Viongozi na wanachama wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani