WAZIRI LUKUVI AHITIMISHA ZIARA YA SIKU MBILI ASHUHUDIA UTENDAJI WA NHC
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo jana mchana. Nyumba za gharama nafuu za NHC Mwongozo, Kigamboni Dar es Salaam zinavyoonekana wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi alipozitembelea. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi01 Apr
Waziri Lukuvi ahitimisha ziara ya siku mbili kushuhudia utendaji wa NHC
10 years ago
MichuziBalozi seif ahitimisha ziara ya siku mbili Mkoa wa Magharibi, Unguja
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Rais Kikwete ahitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili Vietnam
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete lies a wreath at the Mausoleum of the First President Ho Chi Minh in Hanoi on his last leg of his two-day official visit to Vietnam today October 28, 2014.
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete visits the Hung Fen Food Stuff Corporation at Trung Son in Hanoi on his last leg of his two-day official visit to Vietnam today October 28, 2014.
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete shown some historical items as he visits the Garment 10 Corporation textile mill...
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YAKE RASMI YA SIKU MBILI VIETNAM
11 years ago
MichuziKatibu Mkuu Kiongozi ahitimisha Ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua mradi wa bomba la gesi aasilia
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI MKOANI KIGOMA
WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anatarajiwa kuanza ziara ya siku mbili ya kikazi na ya chama cha mapinduzi(CCM)Mkoani hapa.
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia jenerali mstaafu Emanuel Maganga amesema kuwa waziri mkuu atawasili mkoani hapa kesho majira ya saa tatu na nusu asubuhi kwaajili ya shughuli maalum za chama cha mapinduzi(CCM)pamoja na shughuli zingine za kiserikali ikiwemo kupewa taarifa...
9 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU MAJALIWA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI KIGOMA
Waziri Muu, Kassim Majliwa akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo leo Desemba 28, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa...
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Waziri Lukuvi afungua nyumba za NHC Mrara Babati
Sehemu ya nyumba 40 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Mrara Babati mkoani Manyara ambazo zilifumguliwa rasmi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi amehitimisha ziara yake ya kutatua migogoro ya Ardhi katika mikoa ya Mwanza, Arusha na Manyara na ameweza pia kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba za gharama nafuu Buswelu Mwanza na kufungua nyumba za aina hiyo...