BALOZI WA MSUMBIJI AFIKA IKULU KUMUAGA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia Veloso alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia Veloso alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi5 years ago
CCM BlogRAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA NIGERIA IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO
10 years ago
MichuziBalozi wa Uholanzi azungumza na Rais Dk.Shein,Ikulu Zanzibar leo
9 years ago
VijimamboDk Shein Azungumza na Balozi wa Tanzania Uholanzi na Balozi Mpya ya Jamuhuri ya Algeria Ikulu Zanzibar.
5 years ago
MichuziRAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR IKULU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, katika mkutano wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini ZanzibarWAZIRI...
5 years ago
MichuziRAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AHUDHURIA MAZIKO YA MAREHEMU ALI SALIM HAFIDH NA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA IKULU ZANZIBAR.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Salim Hafidh, aliyekuwa Msaidi wa Rais Hutuba , maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya family Fuoni Mambosasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwa Rais) Rais Mstaaf wa Zanzibar...
10 years ago
MichuziDkt. Shein akutana na kuzungumza na Balozi wa Marekani,ikulu Zanzibar
5 years ago
MichuziRAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC,DKT.TAX IKULU,ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kuonana na kufanya mazungumzo leo 21-2-2020.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali...
11 years ago
MichuziRais wa Zanzibar Dk.Shein akutana na Diaspora wa Zanzibar Ikulu