Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA ATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO

Balozi wa mpya wa Tanzania nchini Malaysia, Dkt. Aziz Ponary Mlima leo asubuhi ametembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango na kukutana na viongozi wa Ofisi hiyo.
Pamoja na mambo mengine waliozungumza, viongozi hao waliongelea diplomasia ya uchumi, maendeleo ya uchumi wa Tanzania na Malaysia kwa ujumla.
Dkt. Mlima aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka jana kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kuala...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI NAGU ATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO

Na Saidi Mkabakuli
Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu amefanya ziara ya kujitambulisha kwa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambayo ni moja taasisi anazoziratibu.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Dkt. Nagu alitoa wito kwa Tume ya Mipango ijielekeze katika kujibu changamoto kuu za kiuchumi zinazowakabili watanzania kwa sasa ikiwemo umaskini miongoni kwa Watanzania walioko vijijini, ukosefu wa wa viwanda vya kuongeza thamani mazao hasa kipindi hiki Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

KAIMU MWAKILISHI MKAZI WA UNFPA ATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO

Kaimu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Idadi ya Watu (UNFPA), Bibi Mariam Khan leo alitembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango na kutoa wito kwa serikali kufanya hima katika kukabiliana na changamoto za ongezeko la idadi ya watu na ukuaji wa mijini nchini Tanzania.
Hata hivyo, Bibi Khan alisema kuwa licha ya kuwa ongezeko la idadi ya watu linaathari mbalimbali kama lisipothibiwa, Tanzania inaweza kutuma fursa hiyo kwa kuwekeza kwa vijana kama...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA NA KAMISHA WA TUME YA USULUHISHI, IKULU JIJINI DAR LEO

Balozi mpya wa Tanzania nchini Malaysia Dkt.Aziz Ponary Mlima akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bwana Jafari Omari akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.…

 

10 years ago

Vijimambo

(UNFPA) TANZANIA NA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO WAENDESHA WARSHA

Mgeni Rasmi Bw. Ibrahim D. Kalengo, Mtakwimu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambae anamwakilisha Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, akitoa neno kwa ajili ya warsha hiyo kufunguliwa rasmi.
Mwezeshaji Dr. Deograsias P. Mushi ambae pia ni Mchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mtafiti wa Ecom Research Group akishusha nondo kwa wanawarsha juu ya mambo mbalimbali yanayohusu ujumuishaji wa masuala ya vijana katika mipango ya maendeleo ya mkoa na wilaya.


Shirika la Umoja wa...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA URUSI, NAIBU KATIBU MTENDAJI WA TUME YA MIPANGO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 15, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha baada ya kumuapisha  Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 15, 2014.…
...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amuapisha Balozi mpya wa Tanzania Urusi, Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango leo

k1

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 15, 2014.

k2

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha baada ya kumuapisha  Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam.

k3

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango  Ikulu jijini Dar es salaam.

k4

Rais Dkt Jakaya...

 

10 years ago

Vijimambo

OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Mapema wiki iliyopita Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilitembelea miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini ili kukagua utekelezaji wake. Miradi hiyo ni pamoja na Kituo cha kuzalisha samaki Morogoro, Skimu ya Umwagiliaji Iringa vijijini, Maghala ya COWABAMA Iringa Vijijini, Ujenzi wa Barabara ya Iringa – Dodoma, Bwawa la Mtera, Ujenzi wa Barabara ya Manyoni – Itigi, utandikaji wa Reli eneo kati ya Kitaraka na Malongwe, Shamba la Kitengule, One Stop Border Post Mutukula, Mkongo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani