Rais Kikwete amuapisha Balozi mpya wa Tanzania Urusi, Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 15, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha baada ya kumuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA URUSI, NAIBU KATIBU MTENDAJI WA TUME YA MIPANGO
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE LEO IKULU
10 years ago
Michuzi.jpg)
Rais kikwete awaapisha Balozi Mpya wa Tanzania nchini Kenya na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
.jpg)
.jpg)
10 years ago
VijimamboRais Kikwete amuapisha Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AWAAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA NA KAMISHA WA TUME YA USULUHISHI, IKULU JIJINI DAR LEO
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE NA BALOZI WA TANZANIA SAUDIA


10 years ago
Dewji Blog12 Feb
Rais Kikwete awaapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya
Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kumwapisha iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Na Eleuteri Mangi –MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaapisha Dkt. Hamisi Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya John Haule katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Akizungumzia nafasi yake ya sasa,...
11 years ago
Michuzi.jpg)
BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA ATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO
Pamoja na mambo mengine waliozungumza, viongozi hao waliongelea diplomasia ya uchumi, maendeleo ya uchumi wa Tanzania na Malaysia kwa ujumla.
Dkt. Mlima aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka jana kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kuala...