Rais kikwete awaapisha Balozi Mpya wa Tanzania nchini Kenya na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
![](http://4.bp.blogspot.com/-mGBZvsxpJDg/VNyBICgBM1I/AAAAAAAHDS8/M0u6OOn2JtM/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya na Naibu Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha. Katika hafla hiyo iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Kikwete amemwapisha Bwana John Haule kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya na Dkt.Hamisi Mwinyimvua ameapishwa kuwa naibu katibu mkuu wa Wizara ya Fedha.Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Bwana John Haule akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Balozi mpya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog12 Feb
Rais Kikwete awaapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya
Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kumwapisha iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Na Eleuteri Mangi –MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaapisha Dkt. Hamisi Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya John Haule katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Akizungumzia nafasi yake ya sasa,...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-a7N0xoXWXoY/VWXSIvfddiI/AAAAAAAAeAY/AvLtOv6lolE/s72-c/IMG-20150527-WA0013.jpg)
RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE NA BALOZI WA TANZANIA SAUDIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-a7N0xoXWXoY/VWXSIvfddiI/AAAAAAAAeAY/AvLtOv6lolE/s640/IMG-20150527-WA0013.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ceZl_-FiM1w/VWXW2zZlSOI/AAAAAAAAeA8/G1BiVYu6OLc/s640/IMG-20150527-WA0020.jpg)
10 years ago
Michuzi13 Feb
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOJIGJLl3rwaGsMPE0i2PNLxc1a2BalBvcfFrP72f1giOlfPs5ulXzG1qvA7JqZ8*8BqRzWpXrgN*UkUq9uD1Zum/1.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AWAAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA NA KAMISHA WA TUME YA USULUHISHI, IKULU JIJINI DAR LEO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzXWpjaERRj20yX5zey-MhDdSHFmyK5PNe6grMN*tQ0YkvPqG4Xze8HtRbOsYBbZAnm*0QiWiF19LGDqbbz0Hvei/1k1.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA URUSI, NAIBU KATIBU MTENDAJI WA TUME YA MIPANGO
11 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Kikwete amuapisha Balozi mpya wa Tanzania Urusi, Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 15, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha baada ya kumuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qGfZS5Y66O8/UyLkxowoZII/AAAAAAAFTfQ/rbFDPu1GtQM/s72-c/D92A4440.jpg)
Rais Kikwete awaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-qGfZS5Y66O8/UyLkxowoZII/AAAAAAAFTfQ/rbFDPu1GtQM/s1600/D92A4440.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-6IKnz_VvaYo/UyLkxwz4NAI/AAAAAAAFTfU/4Q6GntKFed8/s1600/D92A4470.jpg)
Dkt. Thomas Kashililah akila kiapo kuwa Naibu Katibu wa Bunge Maalum la...
11 years ago
GPL![](https://1.bp.blogspot.com/-0WNkgl4cLAs/UyLKHSzkxBI/AAAAAAAAOGI/4YCpYIWpDgo/s1600/IMG_4232.jpg)
RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU NA NAIBU KATIBU WA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO MJINI DODOMA