Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yaliyojiri JK aliwapowaapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt Hamis Mwinyimvua na Balozi wa Tanzania Kenya John Haule


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

amemteua Dkt. Hamisi Hassan Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Hamisi Hassan Mwinyimvua  (pichani) kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, anayesimamia Menejimenti ya Fedha za Umma (Public Finance Management).

Kabla ya uteuzi wake, Dkt. Mwinyimvua alikuwa Msaidizi wa Rais wa muda mrefu wa masuala ya uchumi.

Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue leo, Jumatatu, Februari 2, 2015, imesema kuwa uteuzi wa Dkt. Mwinyimvua ulianza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete awaapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya

01

Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kumwapisha iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Na Eleuteri Mangi –MAELEZO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaapisha Dkt. Hamisi Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya John Haule katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Akizungumzia nafasi yake ya sasa,...

 

10 years ago

Michuzi

Rais kikwete awaapisha Balozi Mpya wa Tanzania nchini Kenya na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya na Naibu Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha. Katika hafla hiyo iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Kikwete amemwapisha Bwana John Haule kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya na Dkt.Hamisi Mwinyimvua ameapishwa kuwa naibu katibu mkuu wa Wizara ya Fedha.Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Bwana John Haule akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo.Balozi mpya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA, JOHN HAULE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya, John Michael Haule, wakati Balozi huyo alipofika Osifini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuaga leo Mei 27 2015. Picha na OMR

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMTEUA JOHN HAULE KUWA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA

Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. John Michael Haule.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE NA BALOZI WA TANZANIA SAUDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha  Balozi Liberata Mulamula kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Balozi Mulamula anakuwa Katibu Mkuu wa kwanza mwanamke kuongoza Wizara hiyo na kabla ya uteuzi huo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Hafla hiyo fupi ya uapisho imefanyika Ikulu tarehe 27 Mei, 2015.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Balozi Hassan Simba Yahya  kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BALOZI MULAMULA ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, BALOZI SIMBA NAIBU WAKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Liberata Rutageruka Mulamula (kulia) kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. 
Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico.

Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan Simba Yahya (chini) kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo  ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.  
Kwa sasa Balozi Yahya ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Wizarani...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete awaapisha Dk Mwinyimvua, Balozi Haule

RAIS Jakaya Kikwete amewaapisha Dk Hamisi Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, John Haule katika hafla iliyofanyika jana Ikulu, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani