Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete awaapisha Dk Mwinyimvua, Balozi Haule

RAIS Jakaya Kikwete amewaapisha Dk Hamisi Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, John Haule katika hafla iliyofanyika jana Ikulu, Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Rais Kikwete amwapisha rasmi Balozi Haule

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Michael Haule kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya. Balozi John Michael Haule anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Batilda Buriani ambaye amehamishiwa Tokyo, Japan. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 12 Februari, 2015 Balozi Haule akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMTEUA JOHN HAULE KUWA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA

Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. John Michael Haule.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete awaapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya

01

Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kumwapisha iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Na Eleuteri Mangi –MAELEZO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaapisha Dkt. Hamisi Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya John Haule katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Akizungumzia nafasi yake ya sasa,...

 

9 years ago

Michuzi

Mhe. Rais Kikwete awaapisha rasmi Balozi Mwakasege, Bundala, Kilima, Luvanda, Mbega na Shiyo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Bi. Victoria Richard Mwakasege aliyekuwa Naibu Balozi wa Tanzania nchini Burundi. Balozi Victoria R. Mwakasege anaiwakilisha Tanzania nchini Malawi. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 16 September, 2015Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha aliyekuwa  Kaimu Mkurugenzi  wa Idara ya Afrika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi.Zuhura Bundala...

 

10 years ago

Michuzi

Rais kikwete awaapisha Balozi Mpya wa Tanzania nchini Kenya na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya na Naibu Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha. Katika hafla hiyo iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Kikwete amemwapisha Bwana John Haule kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya na Dkt.Hamisi Mwinyimvua ameapishwa kuwa naibu katibu mkuu wa Wizara ya Fedha.Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Bwana John Haule akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo.Balozi mpya...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA NA KAMISHA WA TUME YA USULUHISHI, IKULU JIJINI DAR LEO

Balozi mpya wa Tanzania nchini Malaysia Dkt.Aziz Ponary Mlima akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bwana Jafari Omari akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.…

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI LIBERATA MULAMULA AKIBIDHIWA OFISI RASMI NA BALOZI JOHN HAULE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akikabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekua Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi John Haule. Kabla ya Uteuzi huo Balozi Mulamula alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Balozi Haule kwa sasa ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya.Makabidhiano hayo yalifanyika Wizarani leo tarehe 01 Juni, 2015.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE NA BALOZI WA TANZANIA SAUDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha  Balozi Liberata Mulamula kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Balozi Mulamula anakuwa Katibu Mkuu wa kwanza mwanamke kuongoza Wizara hiyo na kabla ya uteuzi huo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Hafla hiyo fupi ya uapisho imefanyika Ikulu tarehe 27 Mei, 2015.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Balozi Hassan Simba Yahya  kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani