Mhe. Rais Kikwete amwapisha rasmi Balozi Haule
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Michael Haule kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya. Balozi John Michael Haule anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Batilda Buriani ambaye amehamishiwa Tokyo, Japan. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 12 Februari, 2015
Balozi Haule akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV03 Dec
Rais Kikwete amwapisha rasmi CAG.
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete amemwapisha rasmi mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali.
Baadhi ya maafisa wa Serikali wamesifu hatua hiyo kuchukuliwa mapema kutokana na unyeti wa ofisi ya CAG wakidai kuwa itaongeza nguvu kwenye shughuli za udhibiti wa hesabu za serikali tofauti na awali ambapo ofisi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na kaimu mdhibiti na mkaguzi mkuu.
Baada ya kula kiapo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijibi Dar es Salaam, CAG huyu mpya...
9 years ago
MichuziMhe. Rais Kikwete awaapisha rasmi Balozi Mwakasege, Bundala, Kilima, Luvanda, Mbega na Shiyo
10 years ago
Dewji Blog28 May
Rais Kikwete amwapisha Balozi Liberata Mulamula
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Mei 27, 2015, amemwapisha Katibu Mkuu mpya, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Rutageruka Mulamula.
Aidha, katika sherehe fupi ya uapisho iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, Rais Kikwete amemwapisha Balozi Hassan Simba Yahya kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo.
Katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed...
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Rais Kikwete amwapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa jana Ikulu jijini Dar es salaam.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWyrw-bPDMEPB55TR4UUpvIHjn4CPULQDWH3W5SNPFHSZVi3aP6xcCMTGLIFCFApgZsaMc*HwOxrRafktoZBxVJl/Pichana1.jpg?width=650)
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI WA RWANDA NA NORWAY, AMWAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AMTEUA JOHN HAULE KUWA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA
10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA AKIBIDHIWA OFISI RASMI NA BALOZI JOHN HAULE
10 years ago
Vijimambo03 Feb
Mhe. Rais Kikwete ampokea rasmi Rais Gauck-Ikulu
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a8A_vZbflWk/VNOUWnYgUsI/AAAAAAAHCDE/T2NyGN7DtFI/s72-c/unnamed%2B(14).jpg)