Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi wa Tanzania nchini Oman aandaa futari mjini Muscat

Balozi wa Tanzania nchini Oman Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh aliandaa hafla ya Futari kwa ajili ya Wawakilishi mbalimbali kutoka serikali ya Oman, Mabalozi, Jumuiya ya wafanya biashara, watanzania na wageni mbalimbali iliyofanyika nyumbani kwa Mheshimiwa Balozi maeneo ya Shatti Al Qurum.  Mgeni rasmi katika Hafla hii alikuwa Sayyid (His Highness) Mohamed bin Salim Al Said , Mkuu wa Itifaki kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Oman, halfla hii pia ilihudhuriwa na Nasser Al Busaidy, Afisa Mwandamizi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSHIRIKI MAONESHO YA SANAA NA UTAMADUNI MJINI MASCUT

Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akisalimiana na Mwandishi wa Chanel Ten Said Makala Ofisini kwake alipowaita kwa lengo la kuwapa nasaha Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la Al-Amerat mjini Mascut, nchini Oman.Mkuu wa Utawala Ubalozi wa Tanzania nchini Oman Abdallah Kilima kushoto akimkaribisha Balozi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia kutoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya...

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AKUTANA NA BALOZI WA OMAN NCHINI TANZANIA LEO

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na balozi wa Oman nchini Tanzania, Sheikh Soud Ali Mohammed (katikati), ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na balozi wa Oman nchini Tanzania, Sheikh Soud Ali Mohammed, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana...

 

10 years ago

Vijimambo

Washiriki wa maonyesho ya kimataifa ya sanaa wakutana na Balozi wa Tanzania nchini Oman

Mkuu wa Utawala Ubalozi wa Tanzania nchini Oman Abdallah Kilima kushoto akimkaribisha Balozi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia kutoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la Al-Amerat mjini Mascut, nchini Oman. Katikati ni Mkuu wa Msafara wa Watanzania hao Bi Khadija Batashy.Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akitoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI MPYA WA OMAN NCHINI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Oman nchini Tanzania, Soud Ali Mohamed Al Ruqaishi, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 7, 2014 kwa mazungumzo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi mpya wa Oman nchini Tanzania, Soud Ali Mohamed Al Ruqaishi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN MAALIM DR ALI AHMED SALEH ALAMBA NONDOZ YA SHAHADA YA UZAMIFU YA FALSAFA YA UDAKTARI (Phd) YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA(OUT)KATIKA MAHAFALI YA 29 HAPO TAREHE 16/12/15

BALOZI, MAALIM DR. ALI AHMED SALEH AKISIDINDIKIZWA NA MSIMAMIZI WAKE WA MASOMO(SUPERVISOR) PROF. HOSSEA RWEGOSHORA KUPOKEA SHAHADA YAKE YA PhD.

 

10 years ago

Michuzi

Spika Makinda awasili Muscat Oman kwa ziara rasmi ya kibunge

Mhe Spika wa Bunge Anne Makinda akiwa na Naibu Spika wa Majlis A'Shura Sheikh Abdullah Al Majaali aliempokea katika uwanja wa ndege wa Muscat International Airport. Mhe Spika akiwa na wenyeji wake pamoja na sehemu ya ujumbe wake.Wa kwanza Julia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Mhe Freeman Mbowe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge),Mhe William Lukuvi.Wa kwanza kushoto ni Mhe Ally Saleh Balozi wa Tanzania nchini Oman. Mhe Spika yuko katika ziara rasmi ya kibunge ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani