balozi wa Tanzania nchini Sweeden aagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa RAis wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifurahia jambo wakati akizungumza na balozi wa Tanzania nchini Sweeden balozi Dorn Msechu, ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa RAis wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Tanzania nchini Sweeden balozi Dorn Msechu, ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa RAis wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa na balozi wa Tanzania nchini Sweeden balozi Dorn Msechu, ofisini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Botswana nchini Tanzania Ikulu Dar, akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana,...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA BOTSWANA NCHINI,PIA AKUTANA NA BALOZI WA RWANZA NCHINI TANZANIA
10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ballozi mpya wa Tanzania nchini Saud Arabia, Hemed Mgaza, wakati alipofika kumuaga Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2015. Balozi Mgaza anakwenda nchini Saud Arabia, kuanza kazi rasmi baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete. (Picha na OMR).
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA, JOHN HAULE
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA BOTSWANA NCHINI TANZANIA IKULU DAR
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA, ANAYEMALIZA MUDA WAKE
11 years ago
Dewji Blog14 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi mteule wa Tanzania, nchini Sweden Dora Msechu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kuaga kwa ajili ya kwenda kuanza kazi. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa...
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI TANZANIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI TANZANIA, ANAYEMALIZA MUDA WAKE