BALOZI WILSON MASILINGI AFANYA MCHAPALO WA KUJITAMBULISHA
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi(watatu toka kushoto) na mkewe Marystella Masilingi (wanne toka kushoto) wakiwakaribisha Waheshimiwa Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani kwenye mchapalo ulioandaliwa na yeye mwenyewe kwa ajili ya kujitambulisha kwao wakiwemo viongozi mbalimbali wa Jumuiya za Watanzania nchini Marekani, viongozi wa Dini, DICOTA na vyama vya siasa siku ya Alhamisi Desemba 10, 2015 kwenye Ubalozi wa Tanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
9 years ago
MichuziBALOZI WILSON MASILINGI AANZA ZIARA YA KUTEMBELEA VYAMA VYA SIASA
Akiongea kwenye mkutano wa Halmashauri ya CCM DMV Mhe. Wilson Masilingi amesema lengo kuu ni kuwa karibu na vyama vya siasa kwa...
10 years ago
Vijimambo11 Aug
Rais Kikwete amteua Wilson Masilingi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani
Rais Kikwete amemhamisha Wilson Masilingi kutoka kuwa Balozi wa Tanzania Uholanzi na sasa anakuwa Balozi wa Tanzania Marekani kuchukua nafasi ya Liberata Mulamula. Nafasi ya Masilingi itajazwa na Irene Kisyanju aliyeteuliwa kuwa balozi Uholanzi akitokea wizara ya mambo ya nje.Aidha Rais amemteua Mkuu wa chuo cha ulinzi cha taifa Luten Jenerali Charles Makakala kuwa Balozi wa TZ Zimbabwe kuchukua nafasi ya Adadi Rajab alieteuliwa kuwa mgombea ubunge CCM huko Tanga.
10 years ago
MichuziBALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MHE, WILSON MASILINGI AWASILI WASHINGTON DC
10 years ago
VijimamboBALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MHE, WILSON MASILINGI AWASILI RASMI KITUONI WASHINGTON DC.
9 years ago
Michuzi
10 years ago
VijimamboMhe,Balozi Wilson Masilingi Awasili Rasmi Kituo Chake Cha Kazi Ofisi Za Ubalozi wa Tanzania Washington DC.
PICHA ZOTE KWA HISANIA YA CAMERA YA...
9 years ago
Michuzi
MHE. BALOZI WILSON M. MASILINGI AKUTANA NA BI. CATHY BYRNE, MKURUGENZI MWANDAMIZI WA MASUALA YA AFRIKA, IKULU YA MAREKANI (WHITE HOUSE) TAREHE 30 NOVEMBA 2015
9 years ago
Michuzi
MHE.BALOZI WILSON M. MASILINGI ATEMBELEA KITENGO CHA VISA KATIKA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON D.C, SIKU YA KUMBUKUMBU YA UHURU, TAREHE 9 DISEMBA, 2015