Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BARACK OBAMA AKABIDHIWA RASMI ACCOUNT YA TWITTER

Ni miaka sita imepita tangu Rais Obama amekabidhiwa Ikulu ya White House na kuwa Rais wa nchi hiyo.. labda umewahi kuona Tweets kwenye account ya Obama, lakini kumbe tweets hizo hata hakuhusika kuandika!!Sasa Obama amekabidhiwa rasmi kuendesha ukurasa wake mpya wa Twitter yeye mwenyewe.
Idadi ya followers alionao ni Mil. 1.99 mpaka sasa hivi ambapo ni siku mbili tangu ifunguliwe na kila wakati idadi ya followers inaongezeka kwa sababu watu wengi wanaendelea kumfollow  baada ya kufikiwa na hii...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Ujio wa Obama nchini Kenya waacha historia, watoto waliozaliwa siku aliyowasili waitwa Barack Obama na wengine ‘AirForceOne’

Ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama umeacha historia ya mambo mengi kwa wananchi wa Kenya. Baadhi ya wazazi wa watoto waliozaliwa siku ambayo Obama alitua nchini Kenya Ijumaa ya July 24, wamewapa watoto wao majina yanayohusiana na Rais huyo. Mzazi mmoja aliyejifungua mtoto wa kiume siku hiyo aliamua kumpa mtoto wake jina la Rais […]

 

11 years ago

BBC

Kenya defence Twitter account hacked

The Twitter accounts of the Kenya defence forces and its spokesman are hacked by activists protesting about corruption.

 

11 years ago

BBC

20,000 follow Pistorius's Twitter account

Twitter account set up for Oscar Pistorius ahead of his murder trial

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Public Radio International

Where have all the honeybees gone? Barack Obama wants to know


Public Radio International
Where have all the honeybees gone? Barack Obama wants to know
Public Radio International
A honeybee takes nectar from a flower in Tanzania, while pollen attaches to its body. US President Barack Obama on Friday created a presidential commission to study the collapse of honeybee colonies and other pollinators across the country. There's fear ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Barack Obama ataka amani Nigeria

Raisi Barack Obama ametoa mwito kwa wa Nigeria kusitisha vurugu kuelekea uchaguzi mkuu wa nchi hiyo mapema mwishoni mwa wiki hii.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Barack Obama aizungumzia Iraq

Rais Obama amesema awamu ya kwanza ilikuwa ni kwa ajili ya kuandaa serikali ya pamoja na yenye kuaminika nchini Iraq.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani