Barcelona appoint Luis Enrique as new coach
Barcelona on Monday appointed their former captain and outgoing Celta Vigo manager Luis Enrique as their new coach to replace Gerardo Martino after a disappointing trophyless season, the club said.
Enrique, 44, scored 109 goals in 300 appearances for the Catalan team in eight years after joining from eternal rivals Real Madrid in 1996, and also had great success in three seasons as Barca B coach.
Now Barca board is betting on him bringing the 2012-2013 title holders back to glory after...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBAsa3wqSreV7LMnKCLTMBhwKBN-mk6YxNLqNz77q23RnFaSCIX*4i2YwI3g5ew3lCLHR7rqCKwnWWfM4JjEuzUz/LUIS.jpg)
LUIS ENRIQUE ASAINI MIAKA 2 KUIFUNDISHA BARCELONA
9 years ago
StarTV29 Nov
Kocha Luis Enrique Asema ataongeza nguvu ya usajili Barcelona.
Kocha Luis Enrique Martinez wa FC Barcelona amesema kuwa hana shaka na kiwango bora cha timu yake msimu huu na kubainisha kuwa ana mpango wa kukiongezea nguvu zaidi katika dirisha dogo la usajili la janauri mwakani.
Kocha huyo ameweka wazi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maandalizi ya mechi ya ligi kuu ya La liga dhidi Real Sociedad kwenye uwanja wa Nou Camp.
Amesema hana hofu kwa kuwa siku zote anataka wachezaji wake kuwa fiti licha ya kukumbwa na majeruhi ya...
9 years ago
Dewji Blog02 Nov
Huyu hapa ndiyo Zinedine Zidane mpya kwa mujibu wa Kocha wa Barcelona, Luis Enrique
Kiungo chipukizi wa Barcelona, Sergi Roberto.
Na Rabi Hume
Kocha wa klabu ya Barcelona, Mhispania Luis Enrique amemtaja kiungo anayechupukia katika kikosi chake Sergi Roberto,23 kama Zinedine Zidane mpya kutokana na aina ya uchezaji wake.
Enrique amesema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu ya Hispania maarufu kama Primera Division uliyoikutanisha timu yake ya Barcelona na klabu ya Getafe na Barcelona kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa bila, magoli yakifungwa na Luis Suarez na...
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Luis Enrique aongeza mkataba Barca
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73115000/jpg/_73115121_angola.jpg)
Angola appoint Filemon as new coach
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82772000/jpg/_82772272_ahly.jpg)
Ahly appoint Mabrouk as new coach
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72877000/jpg/_72877508_butler.jpg)
Botswana to appoint English coach
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81349000/jpg/_81349750_cuper.jpg)
Egypt appoint Cuper as new coach
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82640000/jpg/_82640670_fernandez.jpg)
Guinea appoint Fernandez as coach