Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUIS ENRIQUE ASAINI MIAKA 2 KUIFUNDISHA BARCELONA

Kocha mpya wa Barcelona, Luis Enrique Martínez García. BODI ya wakurugenzi wa timu ya FC Barcelona imethibitisha kuwa Mhispania Luis Enrique Martínez García ndiye kocha mpya wa timu hiyo. Enrique mwenye umri wa miaka 44 aliyewahi kuichezea klabu hiyo akitokea kwa mahasimu wao Real Madrid mwaka 1996, atasaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu hiyo yenye maskani yake jijini Barcelona. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Barcelona appoint Luis Enrique as new coach

Par6504918

Barcelona on Monday appointed their former captain and outgoing Celta Vigo manager Luis Enrique as their new coach to replace Gerardo Martino after a disappointing trophyless season, the club said.

Enrique, 44, scored 109 goals in 300 appearances for the Catalan team in eight years after joining from eternal rivals Real Madrid in 1996, and also had great success in three seasons as Barca B coach.

Now Barca board is betting on him bringing the 2012-2013 title holders back to glory after...

 

9 years ago

StarTV

Kocha Luis Enrique Asema  ataongeza nguvu ya usajili Barcelona.

 

 Kocha Luis Enrique Martinez wa FC Barcelona amesema kuwa hana shaka na kiwango bora cha timu yake msimu huu  na kubainisha kuwa ana mpango wa kukiongezea nguvu zaidi katika dirisha dogo la usajili la janauri mwakani.

Kocha huyo ameweka wazi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maandalizi ya mechi ya ligi kuu ya La liga dhidi Real Sociedad kwenye uwanja wa Nou Camp.

Amesema hana hofu  kwa kuwa  siku zote anataka wachezaji wake kuwa fiti licha  ya kukumbwa na majeruhi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Huyu hapa ndiyo Zinedine Zidane mpya kwa mujibu wa Kocha wa Barcelona, Luis Enrique

Kiungo chipukizi wa Barcelona, Sergi  Roberto

Kiungo chipukizi wa Barcelona, Sergi Roberto.

Na Rabi Hume

Kocha wa klabu ya Barcelona, Mhispania Luis Enrique amemtaja kiungo anayechupukia katika kikosi chake Sergi Roberto,23 kama Zinedine Zidane mpya kutokana na aina ya uchezaji wake.

Enrique amesema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu ya Hispania maarufu kama Primera Division uliyoikutanisha timu yake ya Barcelona na klabu ya Getafe na Barcelona kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa bila, magoli yakifungwa na Luis Suarez na...

 

10 years ago

Michuzi

MAYANJA ATUA TANGA, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION

MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988,Coastal Union,Wagosi wa Kaya imeingia mkataba wa miaka miwili na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Jackson Mayanja ambaye ni raia wa Uganda kuifundisha timu ya Coastal Union katika msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania Bara itakayoanza Mwezi Agosti mwaka huu . Utiliaji wa saini wa Kocha huyo ulifanyika leo  mjiniTanga  na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa timu ya Coastal Union akiwemo Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Albert Peter na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Luis Enrique aongeza mkataba Barca

Mkufunzi wa timu ya soka ya Barcelona Luis Enrique ameongeza mkataba mpaka mwaka 2017

 

11 years ago

BBCSwahili

Luis Suarez ahamia Barcelona

Liverpool imekubali kumuuza Luis Suarez kwa Barcelona kwa kima cha pauni milioni 75.

 

5 years ago

Mirror Online

Barcelona star Luis Suarez opens door to return to former club

Barcelona star Luis Suarez opens door to return to former club  Mirror OnlineView Full coverage on Google News

 

11 years ago

Bongo5

Hatimaye Luis Suarez atua Barcelona kwa pauni milioni 75

Klabu ya soka ya Liverpool imekubali kumuuza mshambulizi wake Luis Suarez kwa Barcelona kwa pauni milioni 75. Mchezaji huyo wa Uruguay ,ambaye amepigwa marufuku ya kutocheza mpira miezi miinne baada ya kukutwa na hatia ya kumng’ata begani mchezaji mwenzake wa Italy, Giorgio Chiellini wakati wa mechi yao katika kombe la dunia anatarajia kusafiri kwenda Barcelona […]

 

11 years ago

GPL

JAJA ASAINI MIAKA 2 YANGA

Jaja akipokea nakala ya mkataba wake kutoka kwa Katibu Mkuu wa Young Africans, Bw. Beno Njovu leo mara baada ya kusaini kuitumikia kwa miaka miwili. Hatimaye mshamabuliaji Geilson Santos Santana "Jaja"  raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miaka miwili (2014-2016) kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani