Barnaba: Video ya ‘Nakutunza’ itachelewa
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKALI wa Bongo Fleva, Elius Barnabas ‘Barnaba’ amesema video ya wimbo wa ‘Nakutunza’ aliomshirikisha nyota kutoka Uganda, Jose Chameleone, itachelewa kutoka kwa sababu ya staa huyo wa Uganda kuzongwa na kazi nyingi.
“Chameleone amebanwa na kazi zake atakapokuwa tayari ndiyo tutafanya video, nafikiri nitafanya nje ya nchi kwa sababu wimbo ni mkubwa na nataka unitangaze vema kimataifa, sitaki kukurupuka, ndiyo maana katika wimbo uliowahi kuumiza kichwa changu ni huu wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo509 Nov
Barnaba: Video ya wimbo wangu na Jose Chameleone itachelewa kwasababu ninauogopa wimbo
![Barnaba c](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Barnaba-c-300x194.jpg)
Wimbo mpya wa Barnaba Classic aliomshirikisha staa wa Uganda, Jose Chameleone ndio collabo ya kwanza ya kimataifa kwa Barnaba.
Barnaba ambaye anauachia wimbo huo ‘Nakutunza’ leo November 9, amesema kuwa video ya wimbo huo itachelewa kutokana na kwamba yeye binafsi anauogopa wimbo huo, akimaanisha ni wimbo mkubwa hivyo anaogopa kukosea.
“Video yangu imechelewa kwasababu wimbo huu ndio collabo yangu ya kwanza inayonipeleka International na ndio collabo yangu kubwa” alisema Barnaba kupitia...
9 years ago
Bongo510 Nov
Music: Barnaba Ft. Jose Chameleone — Nakutunza
![artist_117bc98a7858d72001aa05a94602b4308f1.jpg](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/artist_117bc98a7858d72001aa05a94602b4308f1.jpg-300x194.png)
Huu ni wimbo mpya kutoka msanii Barnaba wimbo unaitwa “Nakutunza” amemshirikisha Jose Chameleone kutoka Uganda, Wimbo umefanyika katika studio za Hightable Sound.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-HD7KYq7s-5o/VktXtKTWs6I/AAAAAAAAD90/e9_nsyGOcfY/s72-c/12080551_1660131230938525_209257587_n.jpg)
NEW MUSIC: BARNABA CLASSIC - NAKUTUNZA ft. JOSE CHAMELEONE (Download)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HD7KYq7s-5o/VktXtKTWs6I/AAAAAAAAD90/e9_nsyGOcfY/s400/12080551_1660131230938525_209257587_n.jpg)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
9 years ago
Bongo530 Oct
Music: Barnaba aonjesha wimbo wake na Jose Chameleone ‘Nakutunza’ utakaotoka Nov.5
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/O58YKdwihH4/default.jpg)
9 years ago
Bongo527 Oct
Barnaba aanzisha bendi yake ‘Barnaba Classic’
10 years ago
GPL21 Jan
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
11 years ago
Bongo516 Jul
Behind The Scenes: Picha za utengenezwaji wa video ya Barnaba, ‘Wahalade’