Barnaba aanzisha bendi yake ‘Barnaba Classic’
Barnaba ameanzisha bendi yake mwenyewe. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa bendi yake ilikuwepo lakini sasa itakuwa na vifaa vya kisasa. “Nina bendi toka muda mrefu ila sasa hivi ndo naifanya official. Naanza kunua vifaa vyangu vya muziki au kama akitokea mtu akaninunulia sio mbaya pi,” amesema. “Bendi itakuwa ni bendi tofauti zingine zote unazozijua. Mimi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Oct
Barnaba aanzisha label yake ya muziki, ‘High Table’
9 years ago
Bongo510 Nov
Music: Alawi junior Ft Barnaba Classic — Bado
Hii ni single mpya kutoka kwa Alawi junior akimshirikisha Barnaba Classic wimbo unaitwa “Bado”, Umetayarishwa katika studio za Hightable Sound, Producer: Cadrake na Barnaba Classic.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo523 Nov
Video: Alawi Junior Ft. Barnaba Classic – Bado
Msanii Alawi Junior ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Bado” amemshirikisha Barnaba Classic, Video imeongozwa na Kwetu Studio.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Africanjam.ComNEW MUSIC: BARNABA CLASSIC - NAKUTUNZA ft. JOSE CHAMELEONE (Download)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
9 years ago
Bongo506 Nov
Music: Kleyah Ft Barnaba Classic — Msobe Msobe
Anajulikana kwa jina Kleyah ambaye hivi karibuni aliweza kufika kwenye studio za High Table Sound zinazomilikiwana msanii mahiri kweye medani ya muziki Bongo Fleva Barnaba Classic.
Ngoma yake mpya inakwenda kwa jina la “Msobe msobe” ukiwa imeandaliwa na best song writer wa hapa nchini Barnaba pamoja na kushirikiana nae, Katika Studio za High Table Sound.
10 years ago
VijimamboTHE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI SIKU YA EID MOSI NDANI YA MZALENDO PUB HUKU IKISINDIKIZWA NA BENDI YA FM ACADEMIA PAMOJA NA BARNABA
Mkurugenzi wa The Stars Band, Aneth Kushaba akijitambulisha kwa mashabiki wakenm pamoja na azungumza na wapenzi wa bendi mpya ya The Stars Band wakati wa...
10 years ago
Bongo508 Apr
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Barnaba: Video ya ‘Nakutunza’ itachelewa
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKALI wa Bongo Fleva, Elius Barnabas ‘Barnaba’ amesema video ya wimbo wa ‘Nakutunza’ aliomshirikisha nyota kutoka Uganda, Jose Chameleone, itachelewa kutoka kwa sababu ya staa huyo wa Uganda kuzongwa na kazi nyingi.
“Chameleone amebanwa na kazi zake atakapokuwa tayari ndiyo tutafanya video, nafikiri nitafanya nje ya nchi kwa sababu wimbo ni mkubwa na nataka unitangaze vema kimataifa, sitaki kukurupuka, ndiyo maana katika wimbo uliowahi kuumiza kichwa changu ni huu wa...