Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Alawi Junior Ft. Barnaba Classic – Bado

Alawi Junior ft Barnaba Classic -  Bado www.allstartz.blogspot.com.mp3

Msanii Alawi Junior ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Bado” amemshirikisha Barnaba Classic, Video imeongozwa na Kwetu Studio.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Alawi junior Ft Barnaba Classic — Bado

ALAWI JUNIOR

Hii ni single mpya kutoka kwa Alawi junior akimshirikisha Barnaba Classic wimbo unaitwa “Bado”, Umetayarishwa katika studio za Hightable Sound, Producer: Cadrake na Barnaba Classic.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba aanzisha bendi yake ‘Barnaba Classic’

Barnaba ameanzisha bendi yake mwenyewe. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa bendi yake ilikuwepo lakini sasa itakuwa na vifaa vya kisasa. “Nina bendi toka muda mrefu ila sasa hivi ndo naifanya official. Naanza kunua vifaa vyangu vya muziki au kama akitokea mtu akaninunulia sio mbaya pi,” amesema. “Bendi itakuwa ni bendi tofauti zingine zote unazozijua. Mimi […]

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: BARNABA CLASSIC - NAKUTUNZA ft. JOSE CHAMELEONE (Download)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Kleyah Ft Barnaba Classic — Msobe Msobe

Msobe Msobe Cover

Anajulikana kwa jina Kleyah ambaye hivi karibuni aliweza kufika kwenye studio za High Table Sound zinazomilikiwana msanii mahiri kweye medani ya muziki Bongo Fleva Barnaba Classic.
Ngoma yake mpya inakwenda kwa jina la “Msobe msobe” ukiwa imeandaliwa na best song writer wa hapa nchini Barnaba pamoja na kushirikiana nae, Katika Studio za High Table Sound.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Don Classic — Nivumilie

Hii ni video mpya ni ya msanii kutoka Mwanza anaitwa Don Classic nyimbo inaitwa “Nivumilie”.Audio imetengenezwa na Lolipop(Mini Sound Audio station) video imekua directed by Kenny ukiyz. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: G rico classic — Dharau

Video mpya ya msanii G Rico Classic wimbo unaitwa “Dharau”. Video imeongozwa na Kyonaboy Media Production Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Classic Band — Dada Ndombolo

Classic Band wameachia video yao mpya wimbo unaitwa “Dada Ndombolo”. Video imeongozwa na Kwetu Studio Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani