Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barnaba aanzisha label yake ya muziki, ‘High Table’

Muimbaji na mtunzi wa nyimbo, Barnaba, ameanzisha label ya kusimamia wasanii wa muziki iitwayo ‘High Table’ na tayari ameshawasaini wasanii wanne. Barnaba ameiambia E-News ya EATV kuwa wasanii ambao tayari wamesainishwa ni Ice Boy, Sia, Asia na Mula Fleva. “Kuna Ice Boy yule anayerap alikuwa kwa Young Killer zamani, nimeshamchukua. Watu watashangaa kwanini Barnaba amechukua […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Barnaba aanzisha bendi yake ‘Barnaba Classic’

Barnaba ameanzisha bendi yake mwenyewe. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa bendi yake ilikuwepo lakini sasa itakuwa na vifaa vya kisasa. “Nina bendi toka muda mrefu ila sasa hivi ndo naifanya official. Naanza kunua vifaa vyangu vya muziki au kama akitokea mtu akaninunulia sio mbaya pi,” amesema. “Bendi itakuwa ni bendi tofauti zingine zote unazozijua. Mimi […]

 

9 years ago

Bongo5

Quick Rocka aanzisha kundi jipya la muziki ‘One G’

_K0A2053

Quick Rocka ameanzisha kundi jipya liitwalo ‘One G.’

_K0A2053

Amesema kundi hilo litakuwa chini ya label yake, Switch.

“Kubwa zaidi 2016 ni ujio wa kundi la wasanii wangu One G kupitia record label yangu Switch na producer wangu Luffa,” aliiambia Bongo5.

“Kwahiyo mwaka unaokuja tutaanza nao kwa sababu tayari wana ngoma yao mpya pamoja na video. Lengo letu ni kupeleka muziki mbele na kuleta ushindani mpya kwenye muziki na wasanii wachanga watoke,” alisema.

Hata hivyo Quick amesema ujio wa kundi hilo...

 

9 years ago

Bongo5

Young Dee aeleza kilichosababisha akaachana na label yake ya zamani MDB

Young Dee ameelezea kwa uchungu kitu kilichosababisha akaachana na label yake ya zamani, Millian Dollar Boys (MDB) baada ya bosi wa kampuni hiyo, Max Rioba kudai amezingua. Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM jana, Young Dee alisema hakutaka kuzungumzia suala la Max kwakuwa anaheshimu mchango wake katika muziki wake. “Kama uliona nimekukosea, call […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Cpwaa aanzisha ‘lebo’ yake

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ilunga Khalifa ‘Cpwaa’, ameanzisha ‘lebo’ yake inayojulikana kwa jina la ‘Brain Storm Music’ ambayo tayari ameanza kusajili wasanii mbalimbali. Kwa mujibu wa Cpwaa,...

 

9 years ago

Bongo5

Akon adai hajutii kuacha kumsainisha Drake kwenye label yake alipotambulishwa kwake mwaka 2005

Kama angemwelewa vyema, leo hii Drake angekuwa msanii wa Akon kupitia label yake ya Konvict Music, lakini hakushawishiwa na uwezo wake kipindi hicho. Ilikuwa ni mwaka 2005 pindi rapper wa Canada, Kardinal Offishall alimpompelekea Akon nyimbo za Drake kuona kama anaweza kumchukua. Hata hivyo Akon hakukikubali kipaji cha Drake kama alivyovutiwa na T-Pain na Lady […]

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii wajifunze kuimba muziki wa live kwendana na mabadiliko — Barnaba

Mwimbaji na mwandishi mahiri wa nyimbo, Barnaba amewashauri wasanii wenzake kujifunza kutumbuiza muziki wa live wanapokuwa kwenye majukwaa. Barnaba anafahamika kwa uwezo wake mkubwa wa kutumia vyombo mbalimbali vya muziki na ni miongoni mwa wasanii waliolelewa na kukuzwa na nyumba ya vipaji Tanzania – THT. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya EA Radio, Barnaba amesema kutokana […]

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba ana majibu ya kwanini hapati tuzo licha ya kuwa mchango wake kwenye muziki unafahamika

Msanii Barnaba anafahamika sio tu kwa uwezo wake mkubwa wa kuimba live na kupiga vyombo, bali hata uandishi wa nyimbo. Ameshawaandikia hits wasanii wengi wakubwa. Lakini pamoja na hayo yote bado hajabahatika kushinda tuzo, na yeye binafsi ana majibu ya kwanini anadhani hajapata tuzo. “Kila kitu kina wakati,wataelewa tu uzuri mashabiki wenyewe wanaelewa nani mtunzi […]

 

11 years ago

Mwananchi

Muziki wa dansi umejinyonga na kamba yake?

Ni huzuni. Kumbi za muziki wa dansi ziko tupu. Bendi maarufu karibu zote zilizotamba miaka ya 70 na 90 zimebaki kuwa historia. Chache zilizokuwapo tunashuhudia wanamuziki wake wakipigia viti vitupu katika baa za kawaida kabisa, zilizopo pembezoni mwa jiji la Dar es salaam.

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani