Cpwaa aanzisha ‘lebo’ yake
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ilunga Khalifa ‘Cpwaa’, ameanzisha ‘lebo’ yake inayojulikana kwa jina la ‘Brain Storm Music’ ambayo tayari ameanza kusajili wasanii mbalimbali. Kwa mujibu wa Cpwaa,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Dec
Keko aitaka lebo yake, Sony Music Africa imwachie aende, adai imekwamisha mambo yake
![21362c1c39-KEKO-NU](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/21362c1c39-KEKO-NU-300x194.jpg)
Rapper wa Uganda, Keko anaitaka lebo yake, Sony Music Africa imwachie aende zake.
Rapper huyo Ijumaa hii ametoa malalamiko yake kupitia Twitter kwa madai kuwa hajawahi kuwa na furaha kwenye mkataba huo wa miaka minne sasa.
Amedai kuwa Sony wamekuwa wazito kuachia nyimbo zake na hivyo kuwaangusha mashabiki wake.
“Nadhani ni bora kwa mashabiki niondoke Sony,” ameandika.
Hivi ndivyo alivyoandika:
I want @SonyMusicAfrica to release me from that contract because I’ve clearly been unhappy close...
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Mazuu atambia mafanikio ya lebo yake KTMA 2014
MTAYARISHAJI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mzuri Ally ‘Mazuu,’ ametambia umahiri, umakini na ubunifu aliofanya katika vibao vitatu vinavyowania Tuzo za Muziki za Kilimanjaro (KTMA 2014), akisema ndizo nyimbo...
9 years ago
Bongo511 Nov
Sheddy Clever aja na lebo yake, ‘Burn Records Tanzania’
![sheddy na Ne-yo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/08/sheddy-na-Ne-yo-300x194.jpg)
Mtayarishaji wa wimbo ulioshinda tuzo kibao, Number One wa Diamond Platnumz, Sheddy Clever, ameanzisha lebo yake ya muziki.
Kupitia ukurasa wa Instagram, Sheddy Clever ameandika:
Kuna bora kipaji na Kipaji bora. Sasa hawa ni zaidi ya kipaji bora nina imani watafika pale wanapopataka na mimi nitawa support kwa nguvu zangu zote.Naomba itambulike hawa ndio wasanii wangu walio chini ya studio yangu Burnrecordz . Lakini hawawezi fanikiwa bila ya wewe shabiki na mpenzi wa bongofleva kuwapokea na...
9 years ago
Bongo523 Oct
Barnaba aanzisha label yake ya muziki, ‘High Table’
9 years ago
Bongo527 Oct
Barnaba aanzisha bendi yake ‘Barnaba Classic’
9 years ago
Bongo523 Oct
Man Walter kuanzisha lebo ya muziki
9 years ago
Bongo510 Nov
Kanye West amteua Pusha T kuwa rais wa lebo ya G.O.O.D. Music
![kanye-west-and-pusha-t-release-new-god-flow-in-full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/kanye-west-and-pusha-t-release-new-god-flow-in-full-300x194.jpg)
Rapper Pusha T ameteuliwa kuwa rais wa lebo ya G.O.O.D. Music.
Uteuzi huo umefanywa na mwanzilishi wa lebo hiyo, Kanye West.
Kwa mujibu wa Billboard, uamuzi huo ulifanyika miezi minne iliyopita baada ya kupigiwa simu na Yeeyz.
“I was flying home and I had just got into my car at the airport,” alisema Pusha. “‘Ye had called me and he was like, ‘Tell me something. What do you think about being the president of G.O.O.D. Music?’ And I was like, ‘Well, what are the things that you’re looking...
10 years ago
Bongo502 Oct
New Music: CPwaa — Kata Kiu
9 years ago
Bongo504 Dec
Sijaacha, na sitoacha kufanya muziki – Cpwaa
![Cpwaa na meneja wa T.I , Joson Gete](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/10/Cpwaa-na-meneja-wa-T.I-Joson-Gete-300x194.jpg)
Rapper Cpwaa amesema anashangazwa na watu wanaozusha kwamba ameacha muziki wakati sio kweli.
Akizungumza na Bongo5, Cpwaa amewataka mashabiki wake kupuuza uvumi huo.
“Mimi ninachowaambia mashabiki wangu, nipo na bado ndio kama naanza,” amesema. “Kuna watu wanavumisha nimeacha muziki, sijui hizo taarifa wamezipatawa wapi? Nataka mashabiki wangu wajue bado nipo na kuna kazi nyingi zitakuja na mtapata ile ladha ya muziki wa Cpwaa wanaemjua,” ameongeza.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...