Sijaacha, na sitoacha kufanya muziki – Cpwaa
Rapper Cpwaa amesema anashangazwa na watu wanaozusha kwamba ameacha muziki wakati sio kweli.
Akizungumza na Bongo5, Cpwaa amewataka mashabiki wake kupuuza uvumi huo.
“Mimi ninachowaambia mashabiki wangu, nipo na bado ndio kama naanza,” amesema. “Kuna watu wanavumisha nimeacha muziki, sijui hizo taarifa wamezipatawa wapi? Nataka mashabiki wangu wajue bado nipo na kuna kazi nyingi zitakuja na mtapata ile ladha ya muziki wa Cpwaa wanaemjua,” ameongeza.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Swebe: Sijaacha Kuigiza!!
Pamoja na kupata dili la kutangaza katika kituo cha E FM Cha jijini Dar es salaam mwigizaji mkongwe, Adam Melele “Swebe Satanta” amesema ajaacha uigizaji.
Swebe alisema kuwa bado anaigiza na nikiongozi wa kundi jipya lianalounganisha wakongwe katika tasnia ya filamu na maigizo la Kaone Sanaa linalorusha tamthiliya yake katika TV one.
‘Naingiza kama kawaida isipokuwa inategemea napata maslai kwa mtindo gani? Harafu pia unatakiwa ujue kama mimi ni kiongozi wa kundi la Kaone Sanaa,...
10 years ago
Bongo530 Oct
Nitaendelea kufanya muziki — Professor Jay

10 years ago
Mwananchi18 Jan
Nimewekeza ‘boom’ la Chuo kufanya muziki
10 years ago
CloudsFM01 Apr
Diamond: Nina uwezo wa kufanya muziki wowote
Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz amefunguka kuwa ana uwezo wa kufanya muziki wa aina yoyote kipaji ambacho amejaaliwa na Mwenyezi Mungu.
10 years ago
Bongo Movies06 Jun
Kallage Aeleza Kwanini Ameacha Kufanya Video za Muziki
Mtayarishaji video za muziki na filamu anayeshikilia rekodi ya kushinda tuzo mbili za filamu za TAFA 2015, John Kallaghe amefunguka juu ya sababu za kuacha kufanya video za muziki, kubwa ikiwa ni mabadiliko ya soko na kupungua kwa wawezeshaji katika soko hilo.
Kallaghe ameiambia eNewz ya EATV kuwa soko la utayarishaji video linabadilika kwa kasi kinguvu kazi na kiteknolojia likihitaji vipaji vipya na mtu aliye tayari kwenda kwa kasi hiyo, pili ikiwa ni kuanza kupotea kwa wadau ambao...
11 years ago
GPLEFM 93.7 KUFANYA TAMASHA LA MUZIKI MNENE KUWASHUKURU MASHABIKI
10 years ago
Bongo506 Oct
Video: Will Smith kufanya ziara ya muziki ya dunia mwakani
10 years ago
Bongo521 Sep
Baada ya kuolewa Meninah asimama kufanya muziki kwa muda!
11 years ago
Bongo518 Sep
Mabeste: Nilisimama kufanya muziki ili kuwa karibu na mwanangu