Swebe: Sijaacha Kuigiza!!
Pamoja na kupata dili la kutangaza katika kituo cha E FM Cha jijini Dar es salaam mwigizaji mkongwe, Adam Melele “Swebe Satanta” amesema ajaacha uigizaji.
Swebe alisema kuwa bado anaigiza na nikiongozi wa kundi jipya lianalounganisha wakongwe katika tasnia ya filamu na maigizo la Kaone Sanaa linalorusha tamthiliya yake katika TV one.
‘Naingiza kama kawaida isipokuwa inategemea napata maslai kwa mtindo gani? Harafu pia unatakiwa ujue kama mimi ni kiongozi wa kundi la Kaone Sanaa,...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM23 Jan
SHAMSA FORD:FILAMU YA ‘I HATE MY WIFE’ ILIKUWA NI NGUMU SANA KWANGU KUIGIZA,KWA SABABU YA KUIGIZA KICHAWI.
Msanii wa filamu za Kibongo,Shemsa Ford amefunguka kati ya filamu iliyompa wakati mgumu wakiwa ‘’location’ ni filamu ya I hate my wife kwani aliigiza kama mke mchawi anayemroga mumewe.
’Yaani kati ya filamu iliyonipa wakati mgumu kuigiza ni wakati naigiza filamu ya I hate my wife kutokana na kuigiza kama mchawi mshabiki walijua kuwa ndiyo tabia yangu lakini pia kuvaa uhusika wa kiuchawi ni ngumu sana’’alisema Shemsa Ford.
9 years ago
Bongo504 Dec
Sijaacha, na sitoacha kufanya muziki – Cpwaa

Rapper Cpwaa amesema anashangazwa na watu wanaozusha kwamba ameacha muziki wakati sio kweli.
Akizungumza na Bongo5, Cpwaa amewataka mashabiki wake kupuuza uvumi huo.
“Mimi ninachowaambia mashabiki wangu, nipo na bado ndio kama naanza,” amesema. “Kuna watu wanavumisha nimeacha muziki, sijui hizo taarifa wamezipatawa wapi? Nataka mashabiki wangu wajue bado nipo na kuna kazi nyingi zitakuja na mtapata ile ladha ya muziki wa Cpwaa wanaemjua,” ameongeza.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Sina mpango wa kuigiza
10 years ago
GPL
ESHA BUHETI AKACHA KUIGIZA
11 years ago
BBCSwahili06 Jun
Lupita kuigiza katika Americanah
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Je utakubali kuigiza mazishi yako ?
9 years ago
Bongo Movies16 Nov
Sijawahi Kuigiza Filamu za Kikubwa- Neema 20%
MWIGIZAJI wa kike mwenye hisia katika filamu za majonzi Asfa Omary ‘Neema wa 20%’ amefunguka kwa kusema kuwa toka aanze kuigiza alikuwa hajawahi kuigiza filamu akivaa uhusika kama mtu mzima bali ni mtoto tu, lakini kwa mara ya kwanza ameigiza kama mama mjamzito.
“Nimeigiza filamu nyingi sana lakini hata siku moja nilikuwasijawahi kabisa kuigiza filamu za kiutu uzima nikiwa kama mama mjamzito au mama wa familia, lakini kwa mara ya kwanza katika filamu ya Huba nimeigiza hivyo ilikuwa kazi...
10 years ago
GPL
ESTER: BABA MZAZI ALINIKATAZA KUIGIZA
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Unaweza kuigiza sokwe? Kuna kazi