Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nitaendelea kufanya muziki — Professor Jay

Professor akiwa kwenye shughuli za kisiasaMbunge mteule wa Mikumi kipitia tiketi ya CHADEMA, Joseph Haule aka Professor Jay, amesema ataendelea kufanya muziki hata akiwa bungeni kwa sababu ndio kitu kilichomfikisha hapo alipo. Professor amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa ataendelea kukiheshimu kipaji chake licha ya kupata tiketi ya kuingia bungeni. “Muziki niliokuwa nikiufanya na ninaoendelea kuufanya ni sauti […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

9 years ago

AllAfrica.Com

Professor Jay Wins Parliamentary Seat


Professor Jay Wins Parliamentary Seat
AllAfrica.com
Tanzanian legendary hip-hop artiste Joseph Haule aka Professor Jay is the new Mikumi Constituency member of parliament. The 40-year-old rapper, who so far has five solo studio albums, beat his fellow contestants in a hotly-contested elections that ...

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Rapper Professor Jay Gunning for MP Seat


Rapper Professor Jay Gunning for MP Seat
AllAfrica.com
After his announcement in May that he will be joining politics, popular Tanzanian hip-hop artiste Joseph Haule aka Professor Jay has finally made his plans a reality. The 40-year-old and multiple award-winning Hapo Vipi hit rapper confirmed that his ...

 

9 years ago

Bongo5

Professor Jay ni mbunge mteule wa Mikumi

Rapper mkongwe nchini, Joseph Haule aka Professor Jay amechaguliwa kuwa mbunge wa Mikumi mkoani Morogoro. Jay ambaye alikuwa anawania ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA, ametangazwa rasmi kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 32,259 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Jonas Nkya wa CCM aliyepata kura 30,425. Kwa mujibu wa ITV, msimamizi […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Uzinduzi wa video mbili za Professor Jay

Gwiji wa muziki wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule aka Professor Jay usiku wa Jumamosi aliwapa zawadi mashabiki na wapenzi wa muziki wake kwa kwenye uzinduzi wa video zake mbili mpya, Tatu Chafu na Kipi Sijasikia. Uzinduzi huo ulifanyika ndani ya ukumbi wa Ten Lounge zamani ukifahamika kama Letasi Lounge uliopo maeneo ya Victoria jijini […]

 

11 years ago

Bongo5

Chege: Nitaendelea kufanya video na directors wa Bongo mpaka watu waelewe

Msanii wa muziki kutoka TMK, Chege Chingunda amesema ataendelea kufanya video na waongozaji wa ndani pamoja na watanzania kushindwa kuthamini video za wasanii zinazotengenezwa na waongozaji hao wa nyumbani. Chege ameiambia Bongo5 kuwa hata Nigeria ambao wanaonekana wapo juu barani Africa, walianza kujulikana ndani ya nchi yao baada ya wananchi wao kuwasupport ndipo walipopata fursa […]

 

9 years ago

Bongo5

Nitaendelea kufanya Hip Hop hata kama itanilipa au haitanilipa — Stamina

StaminaTumeshuhudia wasanii wengi wa muziki wakibadilika kutoka kwenye aina ya muziki waliokuwa wakifanya na kuhamia kwenye aina nyingine kwa sababu za kibiashara. Rapper Stamina amesema kamwe biashara haiwezi kuja kumbadilisha kutoka kwenye muziki wa Hip Hop anaofanya na kuhamia kuimba au mtindo mwingine wowote. “Mi hizi habari za muziki wa biashara sitaki hata kuzisikia,” Stamina […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani