Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chege: Nitaendelea kufanya video na directors wa Bongo mpaka watu waelewe

Msanii wa muziki kutoka TMK, Chege Chingunda amesema ataendelea kufanya video na waongozaji wa ndani pamoja na watanzania kushindwa kuthamini video za wasanii zinazotengenezwa na waongozaji hao wa nyumbani. Chege ameiambia Bongo5 kuwa hata Nigeria ambao wanaonekana wapo juu barani Africa, walianza kujulikana ndani ya nchi yao baada ya wananchi wao kuwasupport ndipo walipopata fursa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nitaendelea kufanya muziki — Professor Jay

Professor akiwa kwenye shughuli za kisiasaMbunge mteule wa Mikumi kipitia tiketi ya CHADEMA, Joseph Haule aka Professor Jay, amesema ataendelea kufanya muziki hata akiwa bungeni kwa sababu ndio kitu kilichomfikisha hapo alipo. Professor amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa ataendelea kukiheshimu kipaji chake licha ya kupata tiketi ya kuingia bungeni. “Muziki niliokuwa nikiufanya na ninaoendelea kuufanya ni sauti […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Belle 9 adai waongozaji wa Bongo na location nzuri za nyumbani zinamshawishi kutofikiria kwenda kufanya video nje

_K0A1374Belle 9 anadhani Tanzania ina waongozaji wakali na location za kuvutia kufanya video za muziki kiasi ambacho haoni sababu ya kusafiri kwenda kufanya video zake nje ya nchi.  Muimbaji huyo aliyeachia video ya wimbo wake ‘Shauri Zao’ hivi karibuni, amesema uwezo wa waongozaji wa Tanzania akiwemo Hanscana unatosha kabisa kumpa video yenye ubora. Amesema kama […]

 

9 years ago

Bongo5

Nitaendelea kufanya Hip Hop hata kama itanilipa au haitanilipa — Stamina

StaminaTumeshuhudia wasanii wengi wa muziki wakibadilika kutoka kwenye aina ya muziki waliokuwa wakifanya na kuhamia kwenye aina nyingine kwa sababu za kibiashara. Rapper Stamina amesema kamwe biashara haiwezi kuja kumbadilisha kutoka kwenye muziki wa Hip Hop anaofanya na kuhamia kuimba au mtindo mwingine wowote. “Mi hizi habari za muziki wa biashara sitaki hata kuzisikia,” Stamina […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Nonini aliyomshirikisha Chege — Wanajishuku

Rapper wa Kenya, Hubert “Nonini” Nakitare au kama anavyopenda kujiita Godfather wa Genge, anakaribia kuachia video mpya ya wimbo uitwao ‘Wanajishuku’ aliomshirikisha staa wa Tanzania, Chege Chigunda. Chege na Nonini ni washkaji wa muda mrefu ambao wamekuwa wakishirikiana katika kazi mbalimbali, na hii ni moja ya kazi ambazo wamekuwa wakifanya. Kwenye wimbo huu pia ameshirikishwa […]

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii wa Tz wanapoenda kushoot video na directors wa nje hainiathiri ila inanijengea njia nzuri — Hanscana

Mtayarishaji wa video anayefanya vizuri na mshindi wa Tuzo za Watu, Hanscana amesema kuwa wasanii wa Tanzania wanapoenda kushoot video na watayarishaji wa nje haimuathiri bali inamtengenezea mazingira mazuri zaidi katika kazi zake. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Hanscana ameandika ujumbe huu mrefu; “Baadhi ya wasanii wa Tz kwenda kushoot video na directors […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Julio ft Chege — Special For You

Video mpya kutoka kwa Julio akimshirikisha Chege wimbo unaitwa “Special For You” video imeongozwa na Ada Juma

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani