Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond: Nina uwezo wa kufanya muziki wowote

Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz amefunguka kuwa ana uwezo wa kufanya muziki wa aina yoyote kipaji ambacho amejaaliwa na Mwenyezi Mungu.

Hivi karibuni Diamond aliwashangaza mashabiki wake baada ya kuachia wimbo wake mpya kwenye mtandao wa You Tube wenye asili ya mduara uutwao ‘’Nasema Nawe’’ambao amemshirikisha Malkia wa Mipasho,Khadija Kopa. ‘’Namshukuru Mungu amenijalia kipaji kwani nina uwezo wa kufanya muziki wa aina yoyote ule na pia kupitia Video ya wimbo huu nitakuwa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAJENGEWA UWEZO ILI KUFANYA UTAFITI WA HALI YA KIELIMU WILAYANI TARIME KUPITIA MRADI WA UWEZO.

Washiriki wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 16 katika Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
Na:Binagi Media GroupSemina hiyo imeratibiwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nina ari, shauku na uwezo wa kuongoza Tanzania

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa amesema ana ari, shauku na uwezo wa kuongoza Taifa wakati alipotangaza nia yake ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya watu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Tulia Ackson: Sikubebwa bali nina uwezo na uzoefu wa kutosha

Kwa zaidi ya wiki sasa jina la Dk Tulia Akson si geni masikioni mwa Watanzania kutokana na kutawala katika vyombo vya habari, Bungeni, mitandao ya kijamii na  hata katika vijiwe mbalimbali nchini.

 

11 years ago

GPL

WARSHA YA KUJENGA UWEZO WA MUZIKI NA SARAKASI KWA WATOTO NA VIJANA YATOLEWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Baba Watoto Center kilichopo Mburahati kwa Jongo, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Bw. Mgunga Mwamnyenyelwa  akizungumzia juu ya kituo hicho kinavyofanya kazi na sababu za kuwakusanya watoto hao katika kituo hicho ikiwa ni pamoja na kuwajengea uelewa zaidi na kuwafundisha vitu mbalimbali kama Ngoma, Sarakasi, Ushonaji ili baadae waweze kuja kujitegemea wenyewe.… ...

 

11 years ago

Habarileo

Sensa ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi yaja

WANANCHi wa Mkoa wa Kusini Pemba wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika sensa ya kujua idadi ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi nchini.

 

9 years ago

GPL

DIAMOND: NINA HOFU YA KUNYANG'ANYWA TIFFAH

Musa mateja Kazi ipo! ‘Kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amekumbwa na hofu ya kunyang’anywa mwanaye anayemuita malkia, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ baada ya mama mtoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kutimka naye kwenda kwao nchini Afrika Kusini ‘Sauz’. Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’. Habari kutoka ndani ya familia ya staa huyo zilieleza kwamba, wikiendi iliyopita...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUACHANA NA DIAMOND AAMUA KUFANYA HAYA JUU YA MALI ALIZOPEWA NA DIAMOND


Lile gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limezua mapya ambapo baada ya kudai linamchefua sasa anadaiwa kuwa analiuza kwa kigezo kwamba hataki gundu mwaka huu mpya wa 2015.Gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’KUMBE LIPO KWA...

 

10 years ago

GPL

P-SQUARE WAKUBALI UWEZO WA DIAMOND

Stori: Musa Mateja
MWACHENI Diamond aitwe Diamond! Hiyo kauli pekee unayoweza kuisema kufuatia wakali wa muziki wa R&B kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoye ‘P-Square’ kuukubali uwezo wa kimuziki wa bwa’mdogo kutoka Tandale, Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijuma Wikienda linakupa mchapo hatua kwa hatua. Bwa’mdogo kutoka Tandale, Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

 

10 years ago

Bongo5

Ray C: Nina uhakika Alikiba akipata support ya Diamond anaweza kufika mbali

Ray C ambaye siku chache zilizopita ameachia wimbo mpya baada ya kimya cha muda mrefu, ameweka wazi kile anachotamani kukiona baina ya wasanii wawili wenye mashabiki wengi Tanzania, Alikiba na Diamond. “Wenzetu wasanii wa Nigeria wanashirikiana kwa kila hali na ndio maana wanafika mbali,” alisema Ray C kupitia Clouds TV. “ Wasanii wa Tanzania hatuna […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani