Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADA YA KUACHANA NA DIAMOND AAMUA KUFANYA HAYA JUU YA MALI ALIZOPEWA NA DIAMOND


Lile gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limezua mapya ambapo baada ya kudai linamchefua sasa anadaiwa kuwa analiuza kwa kigezo kwamba hataki gundu mwaka huu mpya wa 2015.Gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’KUMBE LIPO KWA...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

HATARI!! Diamond aamua kuwapa ''makavu live'' team Wema baada ya wao kumdiss.

Baada ya mashabiki wa mwanadada Wema "kumjia juu mwanamuziki Diamond Platnumz" kuhusu tuhuma za yeye kumtumia mwanadada huyu kimwili zaidi bila kumuendeleza, hatimaye raisi huyu wa kundi la WCB ameamua nay eye kufunguka haya mazito juu ya kauli hizo. Kupitia ukurasa wake wa mtandao ule maarufu wa kijamii Diamond ameandika haya..

 

“Nafkiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa Msanii wenu... kama mngemshauri apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze Stareh zisizo na Faida,...

 

10 years ago

Bongo Movies

HOJA:Ni kweli umaarufu wa Wema Sepetu umeshuka baada ya kuachana na Diamond?

Miaka kadhaa iliyopita, Diamond Platnumz alikuwa kijana mwenye ndoto kama underground wengine wa muziki walivyo na hasira ya kutoka. 

Kutoka kwenye familia ya kawaida (kama zilivyo familia nyingi za Kitanzania), Diamond alikuwa akihaha huku na kule kutafuta fedha ya kuingia studio. 

Fast forward – kwa kuungaunga hivyo hivyo alifanikiwa kurekodi wimbo uliokuja kubadilisha maisha yake, ‘Kamwambie’.

Ni wimbo aliouandika kwa hisia kutokana na kuhusisha kisa cha kweli cha kuachwa na msichana....

 

10 years ago

CloudsFM

CHAMELEONE AJA JUU BAADA YA KUANDIKWA KUWA AMEMWOMBA KOLABO DIAMOND

Msanii wa kimataifa kutoka nchini Uganda,Dr Jose Chameleone amekuja juu baada ya taarifa zilizoandikwa na baadhi ya mitandao ya nchini Uganda kuwa amemwomba kolabo staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz,kwa kumtumia ujumbe kupitia ‘whatsap’.Mitandao hiyo ya bigeye.ug na lockerdome.com imeandika kuwa Chameleone na Diamond walianza kufahamiana tangu Diamond akiwa anasoma katika chuo kikuu kimoja nchini Uganda.

Habari zinasema Diamond alipoombwa kolabo na chameleone akamjibu asubiri mpaka...

 

10 years ago

Vijimambo

Kinenuka..Audio: Shilole na Nuhu Mziwanda wameongea haya juu ya kuachana kwao walipo hojiwa


Ugomvi baina ya wapenzi waliodumu kwa takribani miaka miwili namzungumzia Shilole na Nuhu Mziwanda umeonekana kuthibitishwa kuwa sio kutafuta Kick kama ilivyo dhaniwa bali niukweli wamemwagana kama wenyewe walivyo thibitisha kwaGossip Cop wa XXL ya Clouds FM.
Shilole ameweka wazi kuwa Nuhu kwake sio mpenzi tena na ikibidi kutafuta mwingine atakaye weza kumfaa na kukaa naye maisha yakaendelea, Akimainisha kuwa walishafanya ngoma ya pamoja lakini hawezi kuitoa kwa sasa kutokana na kuachana...

 

10 years ago

CloudsFM

Diamond,Wema hawajawahi kukutana tangu kuachana

Mastaa wa Bongo ambao waliwahi kuwa wapenzi,Diamond na Wema Sepetu hawajawahi kukutana tangu walipoachana mwaka jana.

Staa wa Bongo Fleva,Diamond amefunguka hayo wakati akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm,alipoulizwa kuwa kama wana mahusiano mazuri na Wema Sepetu. ‘’Sina Ugomvi na Wema na sijaonana naye tangu tulipoachana,’’alisema Diamond.
Diamond ametambulisha leo wimbo wake mpya mwenye asili ya mduara uutwao ‘’Nasema Nawe’’aliyomshirikisha Khadija...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani